Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?