Kwa maelezo ya CDF Mabeyo, Tundu Lissu ni muongo wa kutupwa

Mambo ya Jiwe tuachane nayo! Jiwe alishapumzika,sasa kumhususisha na mambo mengine siyo fair!
Kwa sababu shahidi ambaye angethibitisha kama Lissu amesema kweli au uongo ni Jiwe mwenyewe ambaye ameshalala.

CDF hawezi kusema uongo
 
Ukitaka kuanza kuulizana haya maswali wewe na hao kina Mabeyo ndo mtageuka waongo wa kutupwa! Nyie si mlikuwa mnabisha hata kama anaumwa mkasema yupo ofisini anapiga kazi hawezi kwenda magomeni.

Hata ishu ya kuumwa aliianzisha Lissu na mkabisha asilimia elfu

Mabeyo alibisha?
 
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.

Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Kwani Mabeyo hawezi kudanganya? hata kama ni kwa sababu za kiusalama?. Kwani alikuonesha picha au video ya Huyo Mtu akiwa Mzena Hadi uamini sana upande wake?

Na mbona Waziri Mkuu alitoa Taarifa kuwa yupo Ofisini? Muongo ni nani kwa upande huo?
 
Ulitaka Mabeyo akueleze nini zaidi ya alichoeleza?

Tatizo nyie uvccm hamuelewi kuwa kuna Wapinzani ambao ni CCM kuliko nyie ndio Sababu wakirudi tu hupokelewa na Vyeo 😀😀
Alitaka aelezwe jinsi "mzarendo" aliyependa vya nyumbani na kukataa kusafiri nje ya nchi alivyosafirishwa kwa matibabu.
 
Kwani Mabeyo hawezi kudanganya? hata kama ni kwa sababu za kiusalama?. Kwani alikuonesha picha au video ya Huyo Mtu akiwa Mzena Hadi uamini sana upande wake?

Na mbona Waziri Mkuu alitoa Taarifa kuwa yupo Ofisini? Muongo ni nani kwa upande huo?
🤔🤔🤔
 
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.

Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Hakuna uongo kwani hakufariki Rais Wa Tanzania?

Mwongo ni yule aliyesema Rais anachapa kazi yuko fiti
 
Back
Top Bottom