Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo akili hauna. Unadhani pale CDF aliongea kila kitu..??
Kama hauoni zile withdraw gesture akiwa anazungumza, basi hata akili za kusema Lissu ni muongo haukupaswa kuwa nazo.
Wewe huna unachokijua kwenye hii Tanzania, kaa kimya bhn.Kwa hiyo na Nairobi nao wametunza siri?
Nyumbu mkubwa wewe
We mwenyewe muongo kuliko. Maana umemwamini moja Kwa chuki zako hujamwamini ilhali Kati ya hao haujui mkweli ni nani maana wote wanasiasa na wanalinda maslahi ya nchi. We unaona Nan mkweli? Aliyesema Mzee baba ni mzima ulitaka aende sokoni umuone ndo useme? Huyo c ulimwamini?Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Kwa Taarifa Yako huyo Tundu Lisu ni CCM kuliko Wewe Simbilisi 😂
Kila Mtanzania alikuwaga TANU na baadaye CCM kabla ya 1992 🙄😂Kwa Taarifa Yako huyo Tundu Lisu ni CCM kuliko Wewe Simbilisi 😂
Buku saba akili zao banaKwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
"tumuachebàpumzk", basi uzi huu hauna sababu kuwepo, ufutwe.Hakusemea akiwa jF....amevua gwanda yupo mstaafu sasa...tumuachebàpumzk
Kitu gani kunakufanya uamini Mabeyo sie anaesema uwongo na Tundu Lissu ndie anasema kweli? Tuanzie hapo kwanza. Kumbuka, Mabeyo katika suala la Magufuli amekuwa na namna ya kujipigia debe kama vile alizuia mapinduzi. Unaamini anayosema? Na usisahau Mabeyo alichaguliwa na Magufuli kuwa CDF si kwa sifa zake za kuwa kikazi.Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Yaani mtoa mada anafikiri Mabeyo kazungumza kilichopo ....Ulitegemea CDF aeleze kiiilakitu?? Refresh ubongo wako masta
Yaani mtoa mada anafikiri Mabeyo kazungumza kilichopo ....
Mabeyo hawezi kwenda nje ya mstari ...
Kilichosema na hali ilivyokuwa ndani ni tofauti ... Zaidi ya hapo ni siri kuu kwa kilichomtokea Alwatan Jiwe ..
Na hata hiyo tarehe iliyotajwa kuondoka siyo yenyewe ...aliondoka muda sana