Kwa maelezo ya CDF Mabeyo, Tundu Lissu ni muongo wa kutupwa

Hata hujui kama tulishitakiwa kweli na kulipa mabilioni,kesi nyingine bado ziko mahakamani na makinikia yao walishachukua sijui unaishi kaburini chato hata hujui kinachoendelea. Unajiabisha sana kwa kutoa rejea ya miga kila siku.

Lete ushahidi wa hizo kesi tulizoshitakiwa au sivyo we ni nyumbu tu
 
Magufuli alishakufa na Mabeyo alishataafu, weka hoja za watu wanao trend sasa hivi. Alafu elewa kwamba mteule wa raisi Nyekundu anaweza akakuambia ni njano na wewe ukaamini.

Muongo wewe
 
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.

Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Danganya kwa namna nyingine hatushawishiki na hizo propaganda uchwara
 
Wewe mpuuzi dawa ya deni ni kulipa yule mzungu aliwashinda mahakamani deni lilikuwepo kitambo kitendo cha serikali kujikausha kama hakuna deni huku inadaiwa ndio uzuzu huo.

Magufuli alilazwa Nairobi kama ulikuwa hufahamu uliza na CDF alizungumza machache tu kati ya mengi kwani aliwataja kwa majina waliokuwa wanazuia Samia asiwe rais , jibu ni hapana basi jua yalikuwepo mengi sana katika nyakati za mwishi za kifo cha Magufuli .

Lissu ameshambuliwa lakini hadi leo hakuna mtu mmoja aliyetuhumiwa wala polisi haijaendesha uchunguzi juu ya shambulio lile tena katika eneo lenye ulinzi saa 24!

Nyinyi wasukuma wachache ndio mnaibisha jamii nzima na wasukuma wanaonekana washamba kisa yule mhutu aliyejipachika usukuma fake.

Shahidi namba moja ambaye ni dereva wa Lisu amefichwa Ubelgiji
 
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.

Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Huyo CDF wako alikutajia waliotaka kupindisha Katiba Samia asiapishwe?
 
Wewe mpuuzi dawa ya deni ni kulipa yule mzungu aliwashinda mahakamani deni lilikuwepo kitambo kitendo cha serikali kujikausha kama hakuna deni huku inadaiwa ndio uzuzu huo sasa ulitaka Lissu alie au atoe pesa zake mfukoni kukomboa ndege?

Magufuli alilazwa Nairobi kama ulikuwa hufahamu uliza na CDF alizungumza machache tu kati ya mengi kwani aliwataja kwa majina waliokuwa wanazuia Samia asiwe rais , jibu ni hapana basi jua yalikuwepo mengi sana katika nyakati za mwishi za kifo cha Magufuli .

Lissu ameshambuliwa lakini hadi leo hakuna mtu mmoja aliyetuhumiwa wala polisi haijaendesha uchunguzi juu ya shambulio lile tena katika eneo lenye ulinzi saa 24!

Nyinyi wasukuma wachache ndio mnaibisha jamii nzima ya wasukuma na kufanya waonekane washamba kisa yule mhutu aliyejipachika usukuma fake.

Tumia muda wako kusoma sio kukumbatia ujinga!

Shahidi namba moja ambaye ni dereva wa Lisu amefichwa Ubelgiji
Mtu amehusika katika tukio akiwa naye kashambuliwa unataka atoe ushahidi gani??

CCTV footage za lile eneo anazo dereva wa Lissu ??

Mbona Magufuli alikataa vyombo vya nje kama Scotland yard kuja kufanya uchunguzi huru na kutoa ripoti?

Hujiulizi kwanini zero brain Bashite alifungiwa kuingia US?
 
Lisu mwenyewe anashangaa watu kushangilia kupigwa kwake risasi
Lisu mwenyewe anashangaa watu kushangilia kupigwa kwake risasi
Shahidi namba moja ambaye ni dereva wa Lisu amefichwa Ubelgiji
😂 😂 😂 😂
Akili hauna wewe na inaonekana wewe ni Kibabu cha miaka 80+ Huna hoja na kutetea kile ulichokiandika hivi kwanini mmekuwa Watumwa wa wa fikra zenu wenyewe?
 
Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.

Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Wewe ndo akili hauna. Unadhani pale CDF aliongea kila kitu..??
Kama hauoni zile withdraw gesture akiwa anazungumza, basi hata akili za kusema Lissu ni muongo haukupaswa kuwa nazo.
 
Back
Top Bottom