Hayo ndio mawazo yako?Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Aisee huku mtandaoni kuna kila aina ya mtu.Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Kwa hiyo unadhani kila mtu anamuamini huyo Mabeyo?Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Huyo ukimuuliza swali anaumwa kichwa.Aisee huku mtandaoni kuna kila aina ya mtu.
Tuvumiliane tu
The bottom line ujumbe ulikuwa kutangaza mwanzo wa kifo cha Jiwe ....je tumwamini Mh Lissu Jiwe yupo hai au hell?Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
na yeye mabeyo mbona anafunguka kuwa ccm waliiba kura kashatoka ukuu wa majeshi.tu mwamini vipi.Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Kwa Taarifa Yako huyo Tundu Lisu ni CCM kuliko Wewe Simbilisi πNyumbu managing tu kila kitu
mahakama ya baba yako auUkiibiwa kura unaenda mahakamani
πππmahakama ya baba yako au
Hahaaa, ukishakuwa Uvccm, unajiona kama mmiliki wa chama,Kwa Taarifa Yako huyo Tundu Lisu ni CCM kuliko Wewe Simbilisi π
Kuna vitu Mabeyo hawezi kusema in details....Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Na ww unadhani kila mtu anamuamini huyo Lissu?Kwa hiyo unadhani kila mtu anamuamini huyo Mabeyo?
Ubongo wako umechanganyika na haja kubwa wewe hata hujui unaandika nini. Tunachoshukuru tu watanzania ni kuwa Lissu yuko hai na dhalim Magufuli yuko motoni.Nyumbu managing tu kila kitu