Uchaguzi 2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

Uchaguzi 2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

UZWAZWA nao ni kipaji.

Mwaka huu hawatoboi hawa wanadhani kuchukua dola ni easy kiasi hicho kwa sera nyepesi kama hizo wanazotoa wagombea wao
 
Chaguzi zote kila mtu ana maeneo yake..Magu sio Msukuma anawezaje kupata kura za Wasukuma wakati yeye Mzinza (Muhutu).ndio maana wazee wa Shinyanga wakampa Lissu uchifu mtanzania mwenzao...
 
Hahaha Magufuli anajaziwa watoto wa shule za msingi za mkoa mzima anafurahia sana sijui kama watakuwepo kwenye kupiga kura pia.
Acha kupotosha umma, ni mkoa gani na shule gani ambazo wanafunzi wake wamepelekwa kwenye kampeni?. Wape salamu mwaka huu mtashindwa vibaya.
 
Anafikiri kuongoza Nchi ni km kunywa chai na robertison wa Amsterdam
Kabisa, atamsimulia hali inayoendelea huku. Mambo ndio kwanza yameanza hata siku wiki mbili bado hazijafika. Atalalamika sana.
 
Lissu yeye anatuambia maendeleo ni kujua kuongea kingereza na kuwaabudu Mabeberu
Ni aibu sana kwa mgombea kukosa sera, tunahitaji kiongozi anayeumia kuona rasilimali za nchi yetu hazitunufaishi na vinatumika vibaya.
 
Mwaka huu hawatoboi hawa wanadhani kuchukua dola ni easy kiasi hicho kwa sera nyepesi kama hizo wanazotoa wagombea wao
Kama kweli mna sera nzuri mbona zanzibar hali ngumu hadi jecha afanye yake
 
Back
Top Bottom