Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Simba ndio timu pekee Tanzania mpaka sasa yenye mafanikio na vikombe kabatini.
Sasa kelele za Mangungu na Try again zinatoka wapi?
Ukisikia hatumtaki Mangungu na Try again basi ujuwe hao ni Yanga.
Wana Simba tushikamane na viongozi wetu hawa ni lulu, jana Saido Mchezaji bora, Lakredi kipa bora mnataka nini tena?
Mangungu mitano tena.