Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wanaume wengi tunayumbishwa na pisi kali tunazozimiliki, wengi tumejikuta tumeshindwa ata kumiliki mashine ya kupukuchua mahindi kwa sababu ya kuhudumia pisi kali.
Migogoro imekuwa ni mingi ndani ya familia/ mahusiano, kutokana na pisi kali kujiona ni mzuri na kumfanya mwanaume kuwa mtumwa katika mahusiano.
Kuchapiwa imekuwa ni kitu cha kawaida,kwa sababu kila wapitapo upigiwa miluzi na mabaharia.
Kwa ushauri tu,oeni pisi za kawaida ili kuepukana na magonjwa ya akili ya kujitakia, pamoja na kuboresha mafanikio.
Unakumbuka wimbo gani kutoka kwa huyu mkali?