Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wakarudiana? Hongera zao....Walisha gombana kipindi fulani huko nyuma lilipo kuja suala la kugawana mali Uncle Snoop akaona sio kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakarudiana? Hongera zao....Walisha gombana kipindi fulani huko nyuma lilipo kuja suala la kugawana mali Uncle Snoop akaona sio kweli
Ndio maana yake na akaja na kipindi chake FatherhoodWakarudiana? Hongera zao....
Mapenzi huisha.....Ndio maana yake na akaja na kipindi chake Fatherhood
Anakuambia ukitaka uishi na mwanamke miaka mingi sharti akupende kwanza yeye na hii binafsi nimeibeba 🔥🔥🔥
Yakiisha chap unaruka kwa mwingine kama Tumbili juu ya miti 🐒😄Mapenzi huisha.....
Kataa ndoa 😹
Dog dog na mpunga wake hakuruka, ndio utaruka we mwakipesile.....hebu huko 😹Yakiisha chap unaruka kwa mwingine kama Tumbili juu ya miti 🐒😄
Huku kivyetu vyetu bhana mambo ya kugombania mali hamna kila mtu anachukua chocho lake 😄Dog dog na mpunga wake hakuruka, ndio utaruka we mwakipesile.....hebu huko 😹
Mnapiga tu ndiki au sio......Huku kivyetu vyetu bhana mambo ya kugombania mali hamna kila mtu anachukua chocho lake 😄
Nikiangalia na hiyo avatar.....
MZabzab usivunje jembe kisa tretka. Jembe halihitaji mafuta. Wanaume tunayaweka stoo, huwezi jua engine ya trekta inaweza leta shida kipindi mvua zinaanza na unatakiwa kuandaa shamba.Hao sura za baba wacha waolewe na baba zao 🤣🤣🤣🤣🤣
Na ndo wagongaji wakubwaNa vijana million 6, 3 hawana..!
Duhhh hadi wamezeeka wote, tutaambia nini kataa ndoa 😁
Kwa hiyo tusiwatupe kabisa 🤣🤣🤣🤣MZabzab usivunje jembe kisa tretka. Jembe halihitaji mafuta. Wanaume tunayaweka stoo, huwezi jua engine ya trekta inaweza leta shida kipindi mvua zinaanza na unatakiwa kuandaa shamba.
Snop dog, one of my favourite artist makes me fall in love with hip hop . Ngoma zake nyingi sana nazielewa ila sana sana kuna drop it like it hot, thats that na i wanna rock.Wanaume wengi tunayumbishwa na pisi kali tunazozimiliki, wengi tumejikuta tumeshindwa ata kumiliki mashine ya kupukuchua mahindi kwa sababu ya kuhudumia pisi kali.
Migogoro imekuwa ni mingi ndani ya familia/ mahusiano, kutokana na pisi kali kujiona ni mzuri na kumfanya mwanaume kuwa mtumwa katika mahusiano.
Kuchapiwa imekuwa ni kitu cha kawaida,kwa sababu kila wapitapo upigiwa miluzi na mabaharia.
Kwa ushauri tu,oeni pisi za kawaida ili kuepukana na magonjwa ya akili ya kujitakia, pamoja na kuboresha mafanikio.
Unakumbuka wimbo gani kutoka kwa huyu mkali?
Mkulima unatupaje jembe?Kwa hiyo tusiwatupe kabisa 🤣🤣🤣🤣