Kwa mafanikio, oeni pisi za kawaida

Ukitaka upate magonjwa ya akili oa pisi kali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Ni vijana wa siku hizi ndio mnaohangaishwa na sura!
Sisi enzi za Mwalimu tuliangalia sifa za Mwanamke hizi Heshima,Adabu na Mchapa kazi,sura haikuwa kipa umbele!
Sasa nyakati hizi mnaacha wanawake wenye heshima na adabu mnachuliwa na sura!
Ndiyo maana mnapata shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…