Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

Joined
Jul 31, 2022
Posts
75
Reaction score
16
Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani.
Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea.
Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo wakati gari litakapofika Tanzania.

Tutakujulisha hatua zote mpaka unapata gari lako likiwa limesajiliwa

Tutakupatia bima ya mwaka bure
Triangle Bure
Fire extinguisher bure

Karibu tukuhudumie
Ofisi ipo Buhongwa, Mwanza
Mawasiliano: Piga/Whatsup: 0757930069
 

Attachments

  • IMG_20220102_154359.jpg
    84.9 KB · Views: 33
Mitsubishi Rosa Bus
Engine: 4D34
Mileage: 220,000kns
Seat: 29
Spring suspension nouns
Wishbone suspension mbele
Gari imefika bandarini fanya kuiwahi
Bei: 50,000,000/= pamoja na usajili.
Piga/Whatsup: 0757930069
 

Attachments

  • Rubo_Motors_Tanzania%0A.jpg
    22.1 KB · Views: 36
  • Rubo_Motors_Tanzania%0A(2).jpg
    28.6 KB · Views: 32
  • Rubo_Motors_Tanzania%0A(1).jpg
    27.2 KB · Views: 34
  • Rubo_Motors_Tanzania%0A(3).jpg
    24.4 KB · Views: 31
  • Rubo_Motors_Tanzania%0A(4).jpg
    31.2 KB · Views: 32
Land Rover Discovery V8 Inauzwa
Version: V8i 54WD
Engine; 56D, 3940cc
Year; 2001
Gearbox; Automatic
Fuel; Petrol
Seats: 5
Sunroof
Milage; 133,000kms
Bei; 18,000,000/=
Gari ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote
Location: Mwanza
Piga/Whatsup: 0757930069
 

Attachments

  • FB_IMG_1682521861101.jpg
    29.8 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1682521855019.jpg
    33.3 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1682521851992.jpg
    40.7 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1682521848982.jpg
    36 KB · Views: 14
  • FB_IMG_1682521842872.jpg
    30.9 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1682521839639.jpg
    36.9 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1682521835104.jpg
    34.7 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1682521832225.jpg
    28.6 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1682521829363.jpg
    28.9 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1682521826400.jpg
    29.3 KB · Views: 14
  • FB_IMG_1682521823500.jpg
    43.3 KB · Views: 14
Duh! Ndiyo zimepanda bei kiasi hiki! Miaka hiyo ilikuwa ni milioni 30 tu.
Kweli kabisa enzi hizo ushuru ulikua mdogo hata dola ilikua haijapanda kama saivi. Saivi magari yamepanda bei na Dola inazidi kuongezeka thamani dhidi ya hela ya Tanzania vile vile hata gharama za kusafirisha zimepanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…