Rubo Motors Tanzania
Member
- Jul 31, 2022
- 75
- 16
- Thread starter
- #41
Zinapatikana.Vip kuhusu Toyota Land cruiser hardtop
Piga/Whatsup: 0757930069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinapatikana.Vip kuhusu Toyota Land cruiser hardtop
Sa mbona hamko active whatzap km hukZinapatikana.
Piga/Whatsup: 0757930069
Nimeshakujibu whatsup mkuuSa mbona hamko active whatzap km huk
Maongezi yapo
[emoji2]kuna jamaa yangu kampiga mtu fulani Tsh 18000 kumfungulia account facebookMjini akili, kuna mtu anaenda kupigwa za uso huko [emoji23]
utakua umeshirikiana naye wewe kumpiga mtu[emoji2]kuna jamaa yangu kampiga mtu fulani Tsh 18000 kumfungulia account facebook
Hapana Mkuu[emoji3]utakua umeshirikiana naye wewe kumpiga mtu
Kwa hiyo anampiga mtu na wewe unaangalia si ndo wale wale tuHapana Mkuu[emoji3]
Mchina kamaliza soko la scania na fuso mende, acha gari new brand ni chuma unapiga miaka mitano haijapata shida yoyote service na tayiri tu.BRAND NEW
2023 HOWO 400HP DUMP TRUCK
Bei: 156,000,000/= pamoja na usajili
Gari 5 zipo njiani zinafika bandarini tarehe 20 mwezi wa sita.
Weka order Mapema
Piga/Whatsup: 0757930069View attachment 2636431