Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angesemaje Naye DalaliUnacheza na hela wewe.
Dalali umeupiga mwingi sana😂😂😂Toyota Rav 4
| 2AZ | 2,400cc | 2009 | 82,000Kms | 5 Seats |
Bei: 26,000,000/=
Ipo Dar es salaam
Piga/Whatsup: 0757930069View attachment 2644447View attachment 2644448View attachment 2644450View attachment 2644449View attachment 2644451View attachment 2644452View attachment 2644453View attachment 2644454View attachment 2644455
Hahaha 😄😄😄😄Dalali umeupiga mwingi sana😂😂😂
Picha za wiziLand Rover Discovery V8 Inauzwa
Version; V8i 54WD
Engine; 56D, 3940cc
Year; 2001
Gearbox; Automatic
Fuel; Petrol
Milage; 133,000kms
Location; Mwanza
Bei: 18,000,000/=
Gari lipo katika hali nzuri haina tatizo lolote
Piga/Whatsup: 0757930069View attachment 2607373View attachment 2607374View attachment 2607375View attachment 2607376View attachment 2607377View attachment 2607378View attachment 2607379View attachment 2607380View attachment 2607381
V8 majanga zaidi bora v6. Hiyo hata ungesema uuze laki 5 mnunuaji ajiandae kwa 20m TZS kui-maintain ndani ya mwakaLand Rover Discovery V8 Inauzwa
Version; V8i 54WD
Engine; 56D, 3940cc
Year; 2001
Gearbox; Automatic
Fuel; Petrol
Milage; 133,000kms
Location; Mwanza
Bei: 18,000,000/=
Gari lipo katika hali nzuri haina tatizo lolote
Piga/Whatsup: 0757930069View attachment 2607373View attachment 2607374View attachment 2607375View attachment 2607376View attachment 2607377View attachment 2607378View attachment 2607379View attachment 2607380View attachment 2607381
Kweli kabisa mkuuMchina kamaliza soko la scania na fuso mende, acha gari new brand ni chuma unapiga miaka mitano haijapata shida yoyote service na tayiri tu.
Ok, Mwenyezi MUNGU akijalia tunakujaUsinunue Howo Dump mpya agiza Refurbished Howo Dump (90% New) kwa bei rahisi sana
Fedha ya HOWO Dump mpya unapata Howo used mbili ambazo ni karibia 90% mpya.
Unasubiri nini????
Agiza used Refurbished Howo Dump 371Hp 6X4 RHD 20CMB, Maximum 35Tons
Bei: 100,000,000/= pamoja na usajili
Malipo utafanya kwa awamu mbili au tatu.
Gari zipo China
Inachukua wastani wa siku 45 kufika Tanzania
Tanzania office: Buhongwa, Mwanza
Piga/Whatsup: 0757930069
View attachment 2953598View attachment 2953599View attachment 2953600View attachment 2953601View attachment 2953603View attachment 2953604View attachment 2953606
Karibu sanaOk, Mwenyezi MUNGU akijalia tunakuja