Kwa mahitaji ya kujengewa Tiles, Tarazo, Mable, Tanga stone, Mosaic na Palving Stone njoo hapa

Hizo tiles ni granite au za kawaida?
25*40 wall za kawaida
Napataje uhakika kama kazi ni ya kwako hii fundi?.Mafundi wengi wana tabia ya kutumia picha za uongo ili kuvutia wateja lkn ukimpa kazi anafanya kama fundi Michael.
Mkuu labda ungenishauri nitumie njia gan kukuaminisha na kuwaaminisha wengine pia wenye doubt kama we??✍️🙏
 
Habari wakuu?

Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, Tarazo, Mable, Mosaic, Palving blocks au tangastone karibu ujenge nasi kwa gharama nafuu lakini kwa ubunifu, uaminifu wa mali zako na kwa mitindo mbali mbali ya kisasa kabisa.

Kwa mawasiliano waweza tufikia kwa simu no 0782369491 au what's App 0654121218 kwa picha na ufafanuzi zaidi wa kazi zetu.

AU
tutumie barua pepe: yusuphmlawa91@gmail.com.
PIA

Unaweza tembelea ukurasa wetu fb wa tilesengineering plus kwa info zaidi.
TUNAPATIKANA DAR ILA POPOTE TUNAKUFIKIA. PICHA👇

 

Attachments

  • FB_IMG_1659789670134.jpg
    31 KB · Views: 33
U
Uko nondo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…