Mji una vumbi kama kwenye mashine ya kukoboa na kusaga...Hahaha,kaka dodoma pazuri mbona.To be honest halijapimwa,hata ukiliangalia bado halijasafishwa vizuri zaidi.nilikuwa mbali kwa muda mrefu mkuu!
Asante sana kwa ushauri ndugu yangu, vipi mbona wewe unauza sasahivi inamaana wewe hupendi kupata pesa nyingi zaidi once bei zikipanda, au umeamua kusaidia watu tu.Habari zenu wakuu!
Naomba kuwashauri watu wote wanaotaka kuhamia dodoma na wana mpango wa kujenga na hawana viwanja kuwa muda wa kununua viwanja ni sasa endapo utachelewa basi gharama itakuwa kubwa zaidi.maeneo yapo mengi na mazuri kwa makazi,biashara na huduma zingine za kijamii kama vile shule,hospitali,n.k!!!kwa mfano mdogo kuna maeneo kama unaenda machinjion dodoma mjini yako bado wazi afu kuna makazi mengi sana jirani yake,na watu wanafata huduma za kijamii mbali.hakuna shule wala hospital jiran!!!nina eneo pia la ekari 5 maeneo ya mnadani kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane.nauza milioni 5 kwa ekari moja(4000square metres) bei sawa na bure.karibuni sana muda ndio huu
Contact; 0767833496
Nawasilisha
pale square meter moja ni elfu kumi. Hiyo heka kwa milioni tano utaitolea wapi?Mimi nategemea kuhamia huko mwezi February mwakani vipi naweza kupata heka Moja kwa Milioni5 maeneo ya Mkalama? kwasababu ofisi yetu inategemea kujengwa karibu na Mkalama. Kama kuna mtu anauza nipo tayari kwenda kuona.
Asante sana kwa ushauri ndugu yangu, vipi mbona wewe unauza sasahivi inamaana wewe hupendi kupata pesa nyingi zaidi once bei zikipanda, au umeamua kusaidia watu tu.
Mkuu mi sio dalali labda ntakusaidia kuuliza.ntakufata PM kama ntapata majibu yoyoteMimi nategemea kuhamia huko mwezi February mwakani vipi naweza kupata heka Moja kwa Milioni5 maeneo ya Mkalama? kwasababu ofisi yetu inategemea kujengwa karibu na Mkalama. Kama kuna mtu anauza nipo tayari kwenda kuona.