mi nimeona mitunduru, sijaona shambaMkuu hilo shamba kwenye vipomo vya mita ni square meter ngapi?
Mbona kame sana??Eneo/shamba lipo mbwanga dodoma mjini kabla hujafika nala limeshuka bei kidogo hivyo ni ofa kubwa kuliko.lina ukubwa wa ekari mbili na nusu!hati yake ni ya kijiji,maji yapo jirani.karibu yake kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali na mbele yake kuna ghorofa inajengwa.umbali wa mita kama mia 600 kutoka barabara ya lami iendayo singida.
Hii ni ofa kubwa kuliko
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ni PM
0767833496
stevenmasaka@gmail.com
Good Neighbour
Umbali from City Centre/Jamatini??Watu wanajenga mkuu.nafikiri ni zuri kwa kujenga
Good Neighbour
hapo nala. ni maeneo ya pale ulipo mzani wa kupimia magari. ninapafahamu kuna maeneo mazuri na nifikiri ni kama km 15 hivi kutoka jamatini"Umbali from City Centre/Jamatini??
Hiyo ni Kama KImara-Posta hivi, kwa sasa kwa Dodoma huu ni umbali mkubwa bado nadhani. Mji haujajaa bado kiasi cha Kilometre 15 kua ndani ya Mji badohapo nala. ni maeneo ya pale ulipo mzani wa kupimia magari. ninapafahamu kuna maeneo mazuri na nifikiri ni kama km 15 hivi kutoka jamatini"
Asante kwa maelezo mkuu.eneo lipo kabla hujafika sheli ya nala!!manake kama mita kadhaa kabla hujaianza nalahapo nala. ni maeneo ya pale ulipo mzani wa kupimia magari. ninapafahamu kuna maeneo mazuri na nifikiri ni kama km 15 hivi kutoka jamatini"