steven13
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 341
- 178
- Thread starter
- #261
Eneo/shamba lipo mbwanga dodoma mjini kabla hujafika nala limeshuka bei kidogo hivyo ni ofa kubwa kuliko.lina ukubwa wa ekari mbili na nusu!hati yake ni ya kijiji,maji yapo jirani.karibu yake kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali na mbele yake kuna ghorofa inajengwa.umbali wa mita kama mia 600 kutoka barabara ya lami iendayo singida.
Na kwa yeyote atakayeniletea mteja basi atapata fungu lake.
Hii ni ofa kubwa kuliko
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ni PM
0767833496
stevenmasaka@gmail.com
Good Neighbour
Na kwa yeyote atakayeniletea mteja basi atapata fungu lake.
Hii ni ofa kubwa kuliko
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ni PM
0767833496
stevenmasaka@gmail.com
Good Neighbour