Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Eneo/shamba lipo mbwanga dodoma mjini kabla hujafika nala limeshuka bei kidogo hivyo ni ofa kubwa kuliko.lina ukubwa wa ekari mbili na nusu!hati yake ni ya kijiji,maji yapo jirani.karibu yake kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali na mbele yake kuna ghorofa inajengwa.umbali wa mita kama mia 600 kutoka barabara ya lami iendayo singida.
Na kwa yeyote atakayeniletea mteja basi atapata fungu lake.
Hii ni ofa kubwa kuliko
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ni PM
0767833496
stevenmasaka@gmail.com

Good Neighbour
9043f184d7c50597ea82d195c7d89364.jpg
2e441e520aa528766504485b6c10ca5e.jpg
253d16a83b832e797ae5385c087e8546.jpg
ce06e40ef7d3921a57786e115de195e3.jpg
 
Eneo/shamba lipo mbwanga dodoma mjini kabla hujafika nala limeshuka bei kidogo hivyo ni ofa kubwa kuliko.lina ukubwa wa ekari mbili na nusu!hati yake ni ya kijiji,maji yapo jirani.karibu yake kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali na mbele yake kuna ghorofa inajengwa.umbali wa mita kama mia 600 kutoka barabara ya lami iendayo singida.
Hii ni ofa kubwa kuliko
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ni PM
0767833496
stevenmasaka@gmail.com

Good Neighbour
9043f184d7c50597ea82d195c7d89364.jpg
2e441e520aa528766504485b6c10ca5e.jpg
253d16a83b832e797ae5385c087e8546.jpg
ce06e40ef7d3921a57786e115de195e3.jpg
Mbona kame sana??
Hayo maji yaliyoko karibu ni ya kutoka chanzo gani??
 
Mbona kame sana??
Hayo maji yaliyoko karibu ni ya kutoka chanzo gani??
Mkuu si unaona kuna mradi wa tofali apo?kachimba kisima apo.pia bomba za mamlaka ya maji(duwasa) hazipo mbali.

Good Neighbour
 
hapo nala. ni maeneo ya pale ulipo mzani wa kupimia magari. ninapafahamu kuna maeneo mazuri na nifikiri ni kama km 15 hivi kutoka jamatini"
Hiyo ni Kama KImara-Posta hivi, kwa sasa kwa Dodoma huu ni umbali mkubwa bado nadhani. Mji haujajaa bado kiasi cha Kilometre 15 kua ndani ya Mji bado
 
hapo nala. ni maeneo ya pale ulipo mzani wa kupimia magari. ninapafahamu kuna maeneo mazuri na nifikiri ni kama km 15 hivi kutoka jamatini"
Asante kwa maelezo mkuu.eneo lipo kabla hujafika sheli ya nala!!manake kama mita kadhaa kabla hujaianza nala

Good Neighbour
 
Nawasogezea tena FURSA nyingine kwa watu makini.
Eneo limepungua kidogo kutimia ekari tatu.lipo dodoma mjini maeneo ya mbwanga mwishoni kabla hujaianza nala!umbali wake toka town centre ni kama kilomita 12,na kutoka barabara ya lami iendayo singida/mwanza/tabora ni umbali wa kama mita 600/700.
Hati yake ni ya kijiji,halijapimwa ila majirani mawili wanaopakana na eneo tayari wamekwishapimiwa.
Eneo hili ni tofauti na lile la ekari mbili na robo nlowahi kuweka humu JF,ila yako jirani kwa lugha nyepesi yanafuatana.Ambapo kabla ya kulifikia eneo hili kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali,pia kuna ghorofa nzuri inajengwa!!
Umeme upo jirani,picha zitaonyesha.na maji yako jirani,pia kuna faida ya ziada "water table" iko karibu kwa uchimbaji wa kisima kulingana na mahitaji yako.kama jirani alivofanya na kuanzisha mradi wa kufyatua na kuuza tofali,mradi unaolipa sana
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ni PM
0767833496
stevenmasaka@gmail.com
NB: ofa kubwa ya msimu wa nane nane na FURSA ya kipekee kwa watu makini
a199f130e5e30365dfb179ee190e84f4.jpg
0c1f13474047a1c493cf0523ee6a325b.jpg
7b205abac06f2ef30d63e030687c8b23.jpg
446ac580171da0a205b241854f5f2cfb.jpg


Good Neighbour
 
1.Eneo hili liko nala mwishoni Dodoma mjini

2.Eneo liko umbali wa kilomita 23 toka town centre na kilomita 2 toka barabara kuu ya lami iendayo singida

3.Eneo ni zuri sana kwa shamba ama makazi na lina ardhi yenye rutuba nzuri

4.Eneo liko kwenye fursa nzuri sana kwani liko karibu na maeneo yanayomilikiwa na vyuo vya st john na chuo cha mipango.

5.Eneo lina hati ya kijiji na halina mgogoro wa aina yoyote ile

6.Bei kwa ekari moja ni laki 5 na haipungui hapo na eneo lina ukubwa wa ekari 15

7.Tunakuuzia kutokana na idadi ya ekari utazohitaji

8.Hii kazi iko chini ya good neighbour ambao hulipwa asilimia 10% kama commission na sio kama MADALALI wafanyavyo kazi zao.Epuka sana MADALALI

9.kwa mawasiliano zaidi
0767833496
0658605358
0622111186
0785641218
b65435b9a4212dea5d3f6c35b936129e.jpg
4dbf41705c46c918bc6742fdcb9830f8.jpg
e3dd927d32c3384ef0b98725e2088e92.jpg
 
USIHANGAIKE TENA-NJOO ULIPE KWA AWAMU

UMEME UKO MITA 50 TU TOKA VIWANJA VILIPO

NA VIWANJA VIKO MITA 500 TU TOKA BARABARA YA LAMI

0767833496(call)

0622111186(Whatsap)

THANK ME LATER
IMG_20190223_191220_120.jpeg
IMG_20190123_112822_7.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom