Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Ukikipima wewe mwenyewe itakuwa shs ngapi?

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu sijakuelewa vizuri.umemaanisha nini?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa isije ikawa vimepigwa XXX na CDA maana saizi viwanja vimepimwa hadi nala he vyako vimepimwa

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukiona location ya eneo utanihurumia.naamini watajitokeza tu wadau
Kuna jamaa hapo hapo Dodoma alikuwa na kiwanja chake hapo (sitotaja eneo), baada ya Magu kusema atahamia Dodoma hotuba yake ya kwanza kabisa. Kuna matajiri walipeleka dau la m 30 mkewe akakataa kata kata. Hivi sasa kashusha hadi m16 watu hapati.
 
We jamaa isije ikawa vimepigwa XXX na CDA maana saizi viwanja vimepimwa hadi nala he vyako vimepimwa

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Duh uko mbali mkuu.unajua CDA walisimamishwa?manispaa watachukua majukumu ya CDA from august

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa hapo hapo Dodoma alikuwa na kiwanja chake hapo (sitotaja eneo), baada ya Magu kusema atahamia Dodoma hotuba yake ya kwanza kabisa. Kuna matajiri walipeleka dau la m 30 mkewe akakataa kata kata. Hivi sasa kashusha hadi m16 watu hapati.
Duh,sawa mkuu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
70*70=4900 square meters!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Iyo siyo ekari mkuu.naona unanisumbua tu nikuelimishe!!!iyo 70 unayoijua wewe inatokana na hatua ambacho kilikadiriwa zamani kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1.kwaiyo 70 ni yards!!!kwa mfano 50×40 square metre ni nusu eka
 
Standard unit ya ekari ni 4000 mita square mkuu!( 63.5m×63.5m)
Hekta ni 10000 mita square ambayo ni sawa na ekari 2.5.

Hiyo 70 × 70 ni hatua siyo mita!

brain is the beautiful part of the body.
Asante mkuu.nimemueleza zaidi hatua iyo ilitumia kureplace yard!!!kwa maana iliaminika kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1 ambayo ni karibu na futi 3 kama sijakosea

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu.nimemueleza zaidi hatua iyo ilitumia kureplace yard!!!kwa maana iliaminika kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1 ambayo ni karibu na futi 3 kama sijakosea

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Watu wengine wana ubishi wa asili mkuu, unakuta kitu hakijui lakini hataki kusaidiwa.
Mwache siku akitaka kuelewa ataelewa.

Back
Top Bottom