django1985
Member
- May 28, 2017
- 46
- 19
Ukikipima wewe mwenyewe itakuwa shs ngapi?
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vimepimwa?tuambie ni plot namba ngapi block gani?Samahani mkuu sijakuelewa vizuri.umemaanisha nini?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kuna jamaa hapo hapo Dodoma alikuwa na kiwanja chake hapo (sitotaja eneo), baada ya Magu kusema atahamia Dodoma hotuba yake ya kwanza kabisa. Kuna matajiri walipeleka dau la m 30 mkewe akakataa kata kata. Hivi sasa kashusha hadi m16 watu hapati.Mkuu ukiona location ya eneo utanihurumia.naamini watajitokeza tu wadau
Duh uko mbali mkuu.unajua CDA walisimamishwa?manispaa watachukua majukumu ya CDA from augustWe jamaa isije ikawa vimepigwa XXX na CDA maana saizi viwanja vimepimwa hadi nala he vyako vimepimwa
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Duh,sawa mkuuKuna jamaa hapo hapo Dodoma alikuwa na kiwanja chake hapo (sitotaja eneo), baada ya Magu kusema atahamia Dodoma hotuba yake ya kwanza kabisa. Kuna matajiri walipeleka dau la m 30 mkewe akakataa kata kata. Hivi sasa kashusha hadi m16 watu hapati.
70*70=4900 square meters!Tukupe elimu inaonekana huelewi.ekari kwa lugha ya kitaalamu ni 4000 mita square!
Standard unit ya ekari ni 4000 mita square mkuu!( 63.5m×63.5m)70*70=4900 square meters!
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Iyo siyo ekari mkuu.naona unanisumbua tu nikuelimishe!!!iyo 70 unayoijua wewe inatokana na hatua ambacho kilikadiriwa zamani kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1.kwaiyo 70 ni yards!!!kwa mfano 50×40 square metre ni nusu eka70*70=4900 square meters!
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu.nimemueleza zaidi hatua iyo ilitumia kureplace yard!!!kwa maana iliaminika kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1 ambayo ni karibu na futi 3 kama sijakoseaStandard unit ya ekari ni 4000 mita square mkuu!( 63.5m×63.5m)
Hekta ni 10000 mita square ambayo ni sawa na ekari 2.5.
Hiyo 70 × 70 ni hatua siyo mita!
brain is the beautiful part of the body.
Watu wengine wana ubishi wa asili mkuu, unakuta kitu hakijui lakini hataki kusaidiwa.Asante mkuu.nimemueleza zaidi hatua iyo ilitumia kureplace yard!!!kwa maana iliaminika kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1 ambayo ni karibu na futi 3 kama sijakosea
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app