Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Si kweli kaka.amini sometime wakati wewe una shida kuna mwingine anatanua
Ni kweli siamini kama watu wote hatuna hela,kuna wengine wapo vizuri sana,ukitaka kuamini kwamba wewe ndio hauna hela tembelea mijini uone watu wananunua simu za laki 8 hadi 1.5m,watu wanakula bufee za buku 15 daily,watu wanakunywa bieeree na wanapanga majumba kodi hadi laki 6 kwa mwezi na analipa miezi 6....Kiuchumi ukiona wewe umepigika basi ujue kuna mtu ameneemeka.
 
True that.asante mkuu kwa kutukumbusha
 
Hali imezidi kuwa ngumu...watafutaji wote tunalijua hilo. Binafsi nakushauri utumie eneo lako kuomba mkopo Benki ili ufanikishe mambo yako then utajua cha kufanya baadae.
 
Hali imezidi kuwa ngumu...watafutaji wote tunalijua hilo. Binafsi nakushauri utumie eneo lako kuomba mkopo Benki ili ufanikishe mambo yako then utajua cha kufanya baadae.
Asante sana mkuu.i salute you for the advice
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 4 tu!!Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida kama 1.1km,makazi ya watu yako karibu sana na watu wanajenga nyumba za kisasa.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts Tel:0767833496/Email;stevenmasaka@gmail.com/> <br />
 
bora uendelee na tangazo lako la awali, pia ni vyema ukaeleza kama eneo limepimwa kwa makazi au shamba.
 
Baada ya kukwama kipesa nimeamua kuuza eneo langu lililopo maeneo ya tanesco kama unakwenda michese.

Lina ukubwa wa square metre 4420(eka moja na kidogo).linapaka na makazi ya watu,umeme nguzo ipo kabisa tushaweka ni wewe tu kufunga umeme wako!maji yako jirani sana,umbali mchache sana toka barabara ya lami!!!huduma za ujenzi kama vile tofali,cement,n.k zinapatikana karibu!!!Lina hati,pia kuna bikoni mbili kutoka kwa jirani aliyepimiwa.

Muda wowote toka hivi sasa litakuwa limeshakamilishwa kupimwa!!!lina mapagale mawili moja lina vyumba 12 na jingine vyumba 2.bei ni nafuu sana, milioni 35!!!

Maelewano yapo!!!wanaoyajua maeneo watakua wanaelewa bei za viwanja haishuki milioni 90 kwa eka. Ni maeneo ya kishua, karibuni!!Kwa mawasiliano zaidi
Phone; 0767833496 Email ;stevenmasaka@gmail.com

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…