Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Baada ya kukwama kipesa nimeamua kuuza eneo langu lililopo maeneo ya tanesco kama unakwenda michese.lina ukubwa wa square metre 4420(eka moja na kidogo).linapaka na makazi ya watu,umeme nguzo ipo kabisa tushaweka ni wewe tu kufunga umeme wako!maji yako jirani sana,umbali mchache sana toka barabara ya lami!!!huduma za ujenzi kama vile tofali,cement,n.k zinapatikana karibu!!!Lina hati,pia kuna bikoni mbili kutoka kwa jirani aliyepimiwa.muda wowote toka hivi sasa litakuwa limeshakamilishwa kupimwa!!!lina mapagale mawili moja lina vyumba 12,na jingine vyumba 2.bei ni nafuu sana,milioni 35!!!maelewano yapo!!!wanaoyajua maeneo watakua wanaelewa bei za viwanja haishuki milioni 90 kwa eka.ni maeneo ya kishua,karibuni!!kwa mawasiliano zaidi<br />Phone; 0767833496<br />Email ;stevenmasaka@gmail.com
 
mkuu ukiangalia kwenye GPS hilo eneo ni kwa ajili ya nini au ramani za mji au ya CDA inasoma hapo ni kwa ajili ya nini
 
Wanasema "25 km radius from the town/municipal centre" ni mali ya CDA, hapo vipi?
 
mkuu ukiangalia kwenye GPS hilo eneo ni kwa ajili ya nini au ramani za mji au ya CDA inasoma hapo ni kwa ajili ya nini
Kwa ajili ya makazi ya watu.naomba nikufahamishe kuwa CDA ilishagafutwa dodoma,tuko na manispaa tu
 
Kwa ajili ya makazi ya watu.naomba nikufahamishe kuwa CDA ilishagafutwa dodoma,tuko na manispaa tu
mkuu naelewa CDA imeshafutwa ila master plan yake yaijafutwa hivyo nilitaka kujiridhisha nikaa kilimani mtaa wa tambukareli nitakucheki
 
MHESHIMIWA HILI ENEO LIMEPIMWA AU BADO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…