Karibu sana mkuu.nina jingine liko tanesco kama unaenda michese ukintafuta nitakutumia picha,ila uzi wake hata humu jf upomkuu naelewa CDA imeshafutwa ila master plan yake yaijafutwa hivyo nilitaka kujiridhisha nikaa kilimani mtaa wa tambukareli nitakucheki
Dalali hajifichi..kama pembe la ng'ombeManispaa wameshaanza kupima bado hawajafika kwaiyo bado halijapimwa ila ni la makazi ya watu na wanajenga.karibu sana vitaisha si muda ukichelewa,huitaji kusita
Duh!!!CDA mbona imefutwa muda mkuu,uko wapi?
Iyo atajua mwenyewe kama hataki si anavunja anaendelea na anachokitaka yeyeHiyo bei ni nzuri sana hasa ukichukulia tayari investment ya pesa nyingi imefanyika kwenye ujenzi hapo, tatizo ni kumpata mtu anayehitaji hizo investments zako, na ana plani kama zako yaani anahitaji nyumba yenye vyumba12 na pagale moja
πππEvelyn mbkna Nlikufata PM naona hukunijib toka jana.na dua lako la kuku
Jameni hata za kuku pale chako ni chako!!!!Hahaha,sina hata hela melipa madeni.na hela za vocha tyu evelyn
Unakaa dodoma mkuu?afu naomba uwe na heshima katika kauli zako,unanifahamu mkuu mpaka unaniita TAPELI,hii jamii forum shauri yako hatuko sawa wote humu.maelezo yangu yanasema tanesco kama unaenda michese unataka maelezo yapiHiyo TANESCO ndo eneo gani Dodoma? kwanini hutoi maelezo ya kutosha? TANESCO iko mjini katikati kama karibu na manispaa, sasa hapo eneo linatoka wapi? acha utapeli au nyoosha maelezo.
TANESCO ipi? kwanini usielekeze watu vizuri? mimi nakaa Dodoma na nataka nikapaone, nielekeze sasaUnakaa dodoma mkuu?afu naomba uwe na heshima katika kauli zako,unanifahamu mkuu mpaka unaniita TAPELI,hii jamii forum shauri yako hatuko sawa wote humu.maelezo yangu yanasema tanesco kama unaenda michese unataka maelezo yapi
mbona hilo eneo lonaonekana ni micheseEneo la mbuyuni ndo lilitengwa kwa ajili ya viwanda mkuu.eneo halipo mbuyuni,hata uko mbuyuni bado kuna utata kuhusu viwanda