Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Sasa kwenye hilo shamba na ukame huo patamea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuUtapata wateja ngoja awamu inayofuata wapate fedha za uhamisho
Asante mkuu.nimemueleza zaidi hatua iyo ilitumia kureplace yard!!!kwa maana iliaminika kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1 ambayo ni karibu na futi 3 kama sijakosea
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hadi leo hola
Tunapumulia mashine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We hali unaionaje mkuu?
Sio mchezo
Nothing is easier than blaming others for your own problems
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunapumulia mashine
Ha ha ha wateja hamna SteveEvelyn umeniandama hadi natamani kukujua.subiri mrejesho ntakufata mpaka PM
Of cause hilo ni kweli but ngoja niwaze nikipata uamuzi ntakufollow INBOXSi kweli kaka.amini sometime wakati wewe una shida kuna mwingine anatanua