Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Habari zenu wakuu!
Kama kawaida leo nawaletea eneo zuri
Kuna shamba linauzwa lina ukubwa wa ekari 2 na kidogo.eneo liko dodoma mjini maeneo ya mbwanga kabla hujafika nala,liko umbali wa karibu mita 500(nusu kilomita) toka barabara ya lami iendayo singida.kabla ya kufika kwenye shamba mbele yake kuna mradi wa kufyatua tofali na ghorofa linaloendelea kujengwa!!!maji yapo jirani,umeme pia.Bei yake kwa eneo lote kwakweli ni yakutupa,milioni 8 Tu,naamini kwa watu makini hawataacha fursa hii ya kipekee!!!
Karibuni sana,kwa wenye maswali mnaweza ni PM.
Kwa mawasiliano zaidi: 0767833496
Narudia tena,hii ni FURSA kwa watu makini.picha zitajieleza
b9ecd8ea03c6a157e8dfb502283b8aa1.jpg
0718e278402681b254f4a5f507dcb0e4.jpg
334c3bb5a1d9137bd28052600a365c66.jpg
53df5ccf6592278e1e28f1acbcb98d72.jpg
822f52cd3b9c15d39d763075a6ed5a73.jpg


Good Neighbour
 
Habari zenu wakuu!
Kama kawaida leo nawaletea eneo zuri
Kuna shamba linauzwa lina ukubwa wa ekari 2 na kidogo.eneo liko dodoma mjini maeneo ya mbwanga kabla hujafika nala,liko umbali wa karibu mita 500(nusu kilomita) toka barabara ya lami iendayo singida.kabla ya kufika kwenye shamba mbele yake kuna mradi wa kufyatua tofali na ghorofa linaloendelea kujengwa!!!maji yapo jirani,umeme pia.Bei yake kwa eneo lote kwakweli ni yakutupa,milioni 11 Tu,naamini kwa watu makini hawataacha fursa hii ya kipekee!!!Karibuni sana,kwa wenye maswali mnaweza ni PM.
Kwa mawasiliano zaidi: 0767833496
Narudia tena,hii ni FURSA kwa watu makini.picha zitajieleza
b9ecd8ea03c6a157e8dfb502283b8aa1.jpg
0718e278402681b254f4a5f507dcb0e4.jpg
334c3bb5a1d9137bd28052600a365c66.jpg
53df5ccf6592278e1e28f1acbcb98d72.jpg
822f52cd3b9c15d39d763075a6ed5a73.jpg
<br /><br />Good Neighbour

Good Neighbour
 
Mkuu bado hujauza tuu, alafu this time naona bei imepaa
Mbona hizo picha hata hazifanani.ilo jingine mkuu!!!we nitafute tu kama unataka eneo dodoma au ndugu yako!karibu

Good Neighbour
 
Habari zenu wakuu!
Kama kawaida leo nawaletea eneo zuri
Kuna shamba linauzwa lina ukubwa wa ekari 2 na kidogo.eneo liko dodoma mjini maeneo ya mbwanga kabla hujafika nala,liko umbali wa karibu mita 500(nusu kilomita) toka barabara ya lami iendayo singida.kabla ya kufika kwenye shamba mbele yake kuna mradi wa kufyatua tofali na ghorofa linaloendelea kujengwa!!!maji yapo jirani,umeme pia.Bei yake kwa eneo lote kwakweli ni yakutupa,milioni 8 Tu,naamini kwa watu makini hawataacha fursa hii ya kipekee!!!Karibuni sana,kwa wenye maswali mnaweza ni PM.
Kwa mawasiliano zaidi: 0767833496 Narudia tena,hii ni FURSA kwa watu makini.picha zitajieleza
b9ecd8ea03c6a157e8dfb502283b8aa1.jpg
0718e278402681b254f4a5f507dcb0e4.jpg
334c3bb5a1d9137bd28052600a365c66.jpg
53df5ccf6592278e1e28f1acbcb98d72.jpg
822f52cd3b9c15d39d763075a6ed5a73.jpg
&lt;br /&gt;&lt;br /&gt;Good Neighbour<br /><br />Good Neighbour

Good Neighbour
 
Wewe ni dalali?

from Katesh using Siemens C55
Hapana mimi si dalali,na hata kama ningekuwa dalali basi sidhani kama ni dhambi.kuna watu nimeshawauzia wapo humu mnaweza wauliza wakawapa mrejesho

Good Neighbour
 
Back
Top Bottom