Kwa nini ukimbilie bachelor apartments wakati tupo doubleNilikimbilia nikidhani ni bachelor apartments!! Ila kama mtu anataka hizo za 450K, si bora tu aongeze 50K na kuchukua hizo za 500K potelea mbali hata kama chumba kitabaki tupu!! Baby Khantwe, hizi hapa vipi baada ya kuzikosa zile za Mbezi?
All in all, ni beautiful apartments!
Dah! Lakini kweli, inabidi pawe na chumba cha ziada kwa ajili ya house girl! Na jinsi ninavyokupenda, kazi ya kutafuta housegirl nitaifanya mimi mwenyewe ili nisikusumbue mpenzi wangu!Kwa nini ukimbilie bachelor apartments wakati tupo double
Madale kwa ndani ndani huko...Mbopo ndo wapi huko?
Mkuu 5.8 unakula per month? Nataka kuhamia hapo hata leo..
Yako ya udalali ngap?Nipigie mkuu.... Anachukua.