Apartment inapangishwa, Ina vyumba viwili kimoja master bedroom, sebule kubwa, dinning, jiko la kisasa na mazingira mazurii ya utulivu.... Nyumba ipo karibu na barabara..Maji ya uhakika dawasa Bei 500k per month. 0743941142.
Kiwanja kinauzwa madale (Kanjibhai street) kina ukubwa wa SQ meter 500,
Kiwanja kipo surveyed na kipo ktk mtaa wenye ujirani mzuriii tambarare, na karibu na huduma zote za jamii.
Ni apartment mpyaa... Ya vyumba viwili, sebule, Jiko na Choo.... Ina facilities zote... Maji dawasa, na umeme kila mtu na luku yake. Asked price 500k per month. 0743941142
Nyumba Ina vyumba viwili kimoja master bedroom, Sebule, Jiko na Public toilet... Parking kubwa ya kutosha. Umeme unajitegemea na Maji Dawasa..
Asked Price 300k per month
0743941142
Hii Pia ipo makongo juu Ina Chumba, Sebule, Jiko na Choo... Ina parking ya kutoshaa Umeme na Maji unajitegemea... 0743941142 Asked Price 250k per month.
Chumba, Sebule, Jiko na choo... Nyumba nzuri ya kisasa, umbali mchache kutoka Barabara kuu na Kuelekea mlimani city. Umeme na Maji Dawasa. Kodi 400k per month.. Wahi sasa 0743941142.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.