Komba03
Member
- Mar 19, 2019
- 94
- 72
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wewe una kasoro sometimes. nakufikiria kama mtu mzima mwenye busara za namna ya ku respond to such stimulus. Why harsh language? I guess such language is below your dignity as I can "zoom" you on this JF!Nyumba haina bustani, hiyo ni nyumba mfu sawa na kaburi
Kwa goba nyumba za kupanga sahivi kupata nyumba nzuri haipungui 500k!Vyumba 2 kwa laki 6[emoji4], kisa hayo madish na AC ama?
Hata mjini nyumba aina hiyo hazifiki hiyo bei..
Laki 3 unapata nyumba nzima kabisa...Bora mtu ukapange Magomeni au KKOO
Kawadanganye wasioishi dar[emoji1]Kwa goba nyumba za kupanga sahivi kupata nyumba nzuri haipungui 500k!
Ukitaka za 250 au 300 chumba na sebule na choo utazikuta za kizaman uswahilini ambako hata parking hamna!
Kuna yule jamaa zeruzeru pale goba anapangisha hadi 1million apartment na watu wamejaa na hawataki kuhama!
Ukiona kitabu hukielewi,hujaandikiwa wewe.Vyumba 2 kwa laki 6[emoji4], kisa hayo madish na AC ama?
Hata mjini nyumba aina hiyo hazifiki hiyo bei..
HUNA HELA wewe kaa pembeni! Na hujui lolote kuhusu soko la nyumba!Kawadanganye wasioishi dar[emoji1]
Sijakataa kuna nyumba za bei hizo, ila vyumba 2 kwa laki 6 hapana..
Ingekuwa full furnished angalau. Lakini kwa hiyo bei bila furniture too expensive na huko goba siyo strategic areaApartments Kali za kisasa zinapangishwa Goba Makongo juu road!
Asked Price 600k- 500k per month.
- Vyumba viwili kimoja master bedroom
- Sebule kubwa with Open kitchen
- Store na Public toilet
- Full Ac
- Zote zimesetiwa Dish Dstv na Azam Tv
- Parking space kubwa....
- Fenced with electric wires...
- Mtaa wenye Utulivu na good neighborhood...
- Umbali wa metre 900 from Goba makongo juu Main road.
Contacts 0743941142 au 0717569086.View attachment 2317593View attachment 2317594View attachment 2317595View attachment 2317596View attachment 2317597