House4Rent Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba na Viwanja karibu hapa

House4Rent Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba na Viwanja karibu hapa

Sijui Goba iko wapi. Ni karibu na UDSM?

Natafuta apartment ya kisasa vyumba viwili self contained na full AC karibu na UDSM. Kama we ni dalali naomba tuwasiliane. Apartment iwe available kuanzia September 15, 2022. Naweza kulipa kwa mwaka mmoja au miwili...
 
kama unaenda kusoma au una kazi yoyote UDSM na una usafiri Goba patakufaa,lakini Changanyikeni ni karibu zaidi na UDSM kuliko Goba
 
Sijui Goba iko wapi. Ni karibu na UDSM?

Natafuta apartment ya kisasa vyumba viwili self contained na full AC karibu na UDSM. Kama we ni dalali naomba tuwasiliane. Apartment iwe available kuanzia September 15, 2022. Naweza kulipa kwa mwaka mmoja au miwili...
Nyumba hizi hazipo mbali na UDSM.....
 
Sijui Goba iko wapi. Ni karibu na UDSM?

Natafuta apartment ya kisasa vyumba viwili self contained na full AC karibu na UDSM. Kama we ni dalali naomba tuwasiliane. Apartment iwe available kuanzia September 15, 2022. Naweza kulipa kwa mwaka mmoja au miwili...

Tafuta madalali wa changanyikeni ama ubungo riverside mpaka external.. unapata nyumba za vigezo vyako kwa kodi isiyozidi laki 3.
 
Wale wanaohitaji Nyumba, vyumba na viwanja maeneo ya Makongo juu na Goba, hapa ni mahali pake..... Utapata nyumba za aina zote Apartments na Stand alone zenye mazingira safi na Tulivu Kwa makazi kulingana na Offer yako....

Contact 0743941142

IMG_20220807_113428_265.jpg
IMG_20220807_122050_407.jpg
IMG_20220717_090944_802.jpg
IMG_20220706_121142_950.jpg
 
Hii ipo goba center, Ina 2 bedrooms zote master bedroom kubwaa, Sebule, Jiko, Store na Public toilet..... Umeme na Maji unajitegemea... Parking space ya kutosha... 500k per month 0743941142
IMG_20220811_095446_802.jpg
 
Back
Top Bottom