Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Hahah Hii Bei nikiongezea laki 2 nakaa Baharini huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna nyumba ya milion 300 hapo
Asante ningeandika Mimi ningeambiwa haterHamna nyumba ya milion 300 hapo
Shida sio Nyumba shida ni Eneo,Acha uhuni wako dalali hakuna nyumba hapo ya hiyo bei
300ml ni ghorofa moja
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mke wa dalali?Shida sio Nyumba shida ni Eneo,
Unapajua Mbweni?? Unajua kiwanja pekee ni bei gani??
Mbweni Kuna viwanja mpk vya milion 50 ,25,Shida sio Nyumba shida ni Eneo,
Unapajua Mbweni?? Unajua kiwanja pekee ni bei gani??
Sijui wanatuonaje hawa[emoji28][emoji28][emoji28]Hahah Hii Bei nikiongezea laki 2 nakaa Baharini huko
Kuna boya hapo juu anakuambia "Goba nyenyenyeeee, bila laki 5 hupati nyumba"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ingekuwa full furnished angalau. Lakini kwa hiyo bei bila furniture too expensive na huko goba siyo strategic area
Mbona nyumba laki tatu unapata i ajitegemea kabisa.Kuna boya hapo juu anakuambia "Goba nyenyenyeeee, bila laki 5 hupati nyumba"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani vyumba 2 upangishe laki 6 kisa ma dish?
1 million Bei ya kupanga ghorofa mbezi beachKawadanganye wasioishi dar[emoji1]
Sijakataa kuna nyumba za bei hizo, ila vyumba 2 kwa laki 6 hapana..
Tufanye kiwanja ni mil 70, unataka kusema hiyo nyumba ni mil 230?? Mil 200 nakujengea ghorofa kali sana na chenji nakurudishiaShida sio Nyumba shida ni Eneo,
Unapajua Mbweni?? Unajua kiwanja pekee ni bei gani??
No! Anaamaanisha kiwanja ni Milion 230! Na Ujenzi umegharimu Milion 70, Kama sikosei!!!Tufanye kiwanja ni mil 70, unataka kusema hiyo nyumba ni mil 230?? Mil 200 nakujengea ghorofa kali sana na chenji nakurudishia
Bujibuji mkongwe jf lkn kuna wakati akili zake za kimafimafi😄Lakini wewe una kasoro sometimes. nakufikiria kama mtu mzima mwenye busara za namna ya ku respond to such stimulus. Why harsh language? I guess such language is below your dignity as I can "zoom" you on this JF!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah Hii Bei nikiongezea laki 2 nakaa Baharini huko