House4Rent Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba na Viwanja karibu hapa

House4Rent Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba na Viwanja karibu hapa

Ni movie ya kitambo Sana, story yake Ni Kama Movie ya Jack the Giant Slayer. Ni vile vile Kuna mti unaota unakuwa mkubwa na baadhi ya watu wanapanda kujua huko juu kunani. Ni story yenye comedy nyingi hususani jamaa mmoja mfupi machalali Sana! Niliona kitambo hicho Hata Jina la Hiyo movie simfahamu naitafuta waungwana! Msaada kwa anayefahamu.
 
Kiwanja kinauzwa Chalinze Mjini, kina Hati miliki.
1km from Morogoro Road.
Kina square metre 1348.
Bei ni 8m
Contact 0743941142.

IMG-20210506-WA0025.jpg
 
Nyumba (Apartments) inapangishwa Makongo juu. Ina vyumba viwili vya kulala ikiwemo master bedroom moja! Sebule kubwa, jiko la kisasa na facilities nyingine zote muhimu. Maji ya DAWASCO nyumba haipo mbali na barabara kuu. Price 550k per month. 0743941142 for more information.

IMG_20210213_095024.jpg
IMG_20210213_094505.jpg
IMG_20210213_094524.jpg
IMG_20210213_094327.jpg
 
Kiwanja kinauzwa No 62 kimepimwa na kina mawe. Kina SQ meter 494. Huduma zote za jamii zinapatikana. Kiwanja kipo mbele ya shule ya Goshen primary & nursery School. Price 15m negotiable. 0743941142.

IMG-20210608-WA0005.jpg
IMG-20210608-WA0006.jpg
 
Apartment inahitajika ya Kununua 3bedrooms, maeneo ya Mikocheni, Msasani, Mbezi beach, Oysterbay na Maeneo ya jirani.

0743941142 uje na full details.

Sihitaji Chain.
 
Apartment ya vyumba viwili, jiko, sebule kubwa na Nk......
Nyumba ipo vizuri Sana, Maji Dawasco ya uhakika, ulinzi na mazingira yaliyotuliaa... Kodi kwa mwezi Laki nne! Ipo Makongo Juu.
0743941142.

a77154176a1b44bba57cc1223949640a.jpg
ab39d07db7f640bab071263640020538.jpg
de7bbaa310ad40c398657b5f82933a23.jpg
173e6458529744c1969f7f69f320c5f5.jpg
ca542addd8b64beeabfcdf9f1ee50c7a.jpg
005414f8458842fa8a803ee50b8c9aeb.jpg
 
Huko daslam kila sehemu dili, yaani nyumba ya kushea tena makongo juu 400 kwa mwezi? Kodi hiyo ningelipa endapo ndani ya fensi ningekuwa pekeyangu halafu eneo liwe magomeni
 
Huko daslam kila sehemu dili, yaani nyumba ya kushea tena makongo juu 400 kwa mwezi? Kodi hiyo ningelipa endapo ndani ya fensi ningekuwa pekeyangu halafu eneo liwe magomeni
Sio rahisi Kama unavyofikiri mkuu..... Tafuta Hiyo nyumba Maeneo hayo uliyosema kwa Bei Hiyo then utagundua kitu.
 
Back
Top Bottom