Kwa mahitaji ya ramani, kusimamia na kujenga nyumba

AH architectural

Senior Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
118
Reaction score
82

NATOA HUDUMA ZIFUATAZO KATIKA UJENZI :​

  1. KUCHORA RAMANI ZA MAJENGO
  2. KUSIMAMIA UJENZI
  3. KUFANYA MAKADIRIO YA UJENZI
HII NI MOJA YA KAZI ZANGU NILIZOFANYA KUANZIA KUCHORA MPAKA KUSIMAMIA UJENZI ( 0758 614 119 )







NDUGU WATEJA HII MICHORO INAONESHA RAMANI INAVYOPASWA KUWA

NAOMBA TUTAZAME MAKADIRIO YA UJENZI YA RAMANI HII

1 : HATUA YA UJENZI KUANZIA MSINGI MPAKA KOZI ZA MWISHO ILI KUPOKEA PAA









2 : HATUA YA KUTOKA KWENYE MSINGI MPAKA HATUA YA KOZI ZA MWISHO







3 : HATUA YA UPAUAJI





KARIBUNI SANA MAWASILIANO YANGU NI 0758 614 119

PIA TUNAWEZA KUONA PICHA HALISI ZA SITE
 

Attachments

  • 8_001.jpg
    174.4 KB · Views: 17
  • 17_001.jpg
    117.9 KB · Views: 19
  • 4_001.jpg
    124.5 KB · Views: 17
  • 3_001.jpg
    333.1 KB · Views: 16


 

Attachments

  • IMG_20220228_164816.jpg
    784.3 KB · Views: 15
  • IMG_20220302_090449.jpg
    1 MB · Views: 15
  • IMG_20220302_090518.jpg
    1.1 MB · Views: 14
  • IMG_20220302_090616.jpg
    912.7 KB · Views: 13
  • IMG_20220304_100447.jpg
    839.8 KB · Views: 13
  • IMG_20220304_101047.jpg
    983.7 KB · Views: 14
  • IMG_20220304_101108.jpg
    931 KB · Views: 13
  • IMG_20220228_164245.jpg
    866.6 KB · Views: 15
  • IMG_20220228_164154.jpg
    886.8 KB · Views: 13
  • IMG_20220228_164112.jpg
    706.9 KB · Views: 13
  • IMG_20220222_151740.jpg
    734.9 KB · Views: 14
  • IMG_20220224_155435.jpg
    827.8 KB · Views: 15
Kama una nyumba hujapendezwa nayo unahitaji kuifanyia marekebisho tupo kwa Ajili yako.

Mfano ni huu.

Hii tumeibadilisha imekuwa hivi.

Tumeibadilisha inaonekana hivi




Maendeleo ya kazi site






Karibuni sana.
Tunapatikana kwa namba hii 0758 614 119.
 

Attachments

  • IMG_20220819_172113.jpg
    693.3 KB · Views: 15
  • IMG_20220819_172137.jpg
    452.7 KB · Views: 14
  • IMG_20220819_172156.jpg
    642.3 KB · Views: 17
Kwenda kuona site bure
Malipo ni baada ya kuridhika na kazi
Mafundi wapo ila kama unao wa kwako utafanyiwa usimamizi tu.
 
Ramani mnachora kwa bei gani na je vibali vyote vya ujenzi mnafuatilia?
Hapa inategemea na aina ya ramani. Cha muhimu zaidi tunamsikiliza mteja mahitaji yake kulingana na ramani anayohitaji. Tuna angalia pia na hali ya mteja wetu.
 
Kwa sisi makapuku mkuu bei ya chini kabis inaweza kuwa shilling ngapi,,,yaani kwa uzoefu wako minimum huwa ni kiasi gani kwa makadirio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…