AH architectural
Senior Member
- Jul 30, 2017
- 118
- 82
NATOA HUDUMA ZIFUATAZO KATIKA UJENZI :
- KUCHORA RAMANI ZA MAJENGO
- KUSIMAMIA UJENZI
- KUFANYA MAKADIRIO YA UJENZI
NDUGU WATEJA HII MICHORO INAONESHA RAMANI INAVYOPASWA KUWA
NAOMBA TUTAZAME MAKADIRIO YA UJENZI YA RAMANI HII
1 : HATUA YA UJENZI KUANZIA MSINGI MPAKA KOZI ZA MWISHO ILI KUPOKEA PAA
2 : HATUA YA KUTOKA KWENYE MSINGI MPAKA HATUA YA KOZI ZA MWISHO
3 : HATUA YA UPAUAJI
KARIBUNI SANA MAWASILIANO YANGU NI 0758 614 119
PIA TUNAWEZA KUONA PICHA HALISI ZA SITE