Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

Kapewa script aruke nayo , hio interview ya dakika moja na sekunde 45 bonge limetaja jeshi la polisi kwa wema mara 145 , script writer alipungukiwa mno na hekima
 
Nje na polisi nani anaruhusiwa kumiliki pingu na anajua matumizi ake kama siyo polisi wenyewe? kuna duka linauza pingu kwa watu binafsi kama chain ya kufungia mbwa?
Mkuu, kama kuna magenge yanamiliki silaha za kivita kwa ajiri ya uharifu, pingu ni kitu gani chief
 
Mkuu, kama kuna magenge yanamiliki silaha za kivita kwa ajiri ya uharifu, pingu ni kitu gani chief
Zinauzwa wapi na zinaingiaje nchini na wakati hatuna kiwanda cha kutengeneza silaha? watu wanajiamini wanaenda kuteka basi saa 11 jioni na kuua bila woga, kama ni magenge kwanini polisi hawataki kuvaa uniform wakati wa kukamata na kutoa vitambulisho pamoja na kutoa taarifa kwa Mwenyekiti mtaa/VEO/WEO?
 
Back
Top Bottom