Kwa maisha wanayoishi ndugu zake Harmonize halafu nikimuona anatoa mil 9 kwa wengine, inaniuma sana

Mkuu watoto wa Dimond ndio walivyo....Hata Dimond mwenyewe hataki kumsaidia baba ake
 
umejuaje alishawapa mitaji kadhaa .maana unampa mtaji ili kesho asije akakuomba tena .haumpi Samaki Bali unamfundisha kuvua Samaki.na Mali bila elimu huisha bila habari ,apo ndo chuki zonapoanza na kulogana
 
Mkuu kumsaidia mtu hata kama ni nduguyo si lazima ni hiari sasa wote wa mwangalie yeye kwa nini na wao wasijitahidi angalau wakatoka ki vingine? Nitamlaumu tu kama atakuwa kasahau mama basi
baba hayumo ?ina maana wazazi ni mama tu?shangazi?bibi?babu ?wadogo zake au kaka zake? si watu wa kusaidia hao?mkuu u know nothing about family!
 
mkuu kuna baadhibya watu huwa hawajibiwi ,huyo keshajipambanua ni mtu wa aina ganinkwenye kufikiri kwa hiyo huwezi kukaa nae jukwaa moja mkajadili.
sikuhizi sisi hatuwajibu directi tunawajibu kwa mbali kama hivi yaani tunajifanya kuwajadili kama vile hawapo kwenye huu uzi !ndio dawa yao na siku nyingine watafikiri kabla ya kupost
 
Mkuu kumsaidia mtu hata kama ni nduguyo si lazima ni hiari sasa wote wa mwangalie yeye kwa nini na wao wasijitahidi angalau wakatoka ki vingine? Nitamlaumu tu kama atakuwa kasahau mama basi
Baba na mama
 
Kuna ubaya gani kwenye kulima mihogo?
Kwa hiyo wewe kutoka kwao unataka ueaone wanaishi mjini kwenye mjumba mkubwa.. bila kazi wakisubiri kupewa na ndio useme wametoka kimaisha..

Nani alikuambia kuwa na kazi ya kilimonhuwezi kuwa umetoka.. na pia hayo ya mtu kupewa pesa sio lazima apewe hadi apae.. kuna kupewa na kujisaidia kuendelea..

Pia wewe una lako.. hao ndugu zake hujasema kama ni siblings au wa ukoo.. acha wivu.. juzi alipokuwa anampeleka Mama yake sijui SA kimatibabu or so mbona haukumsema..
 
Ndugu zake harmonize wanbd wamtegemee Mungu na sio harmonize...kwani kumtegemea binadamu mwenzio akuokoe kwny umaskin ..unakuwa unakosea...Isitoshe maisha ya wakaz wa mtwara nimazur sana..wanapouza korosho hela wanatumia ovyo ovyo mpaka wanawapa Mbuzi Soda ...so kwanza wajue kuwa..pesa kuipata ni shida kwaiyo na kweny kuitumia wanabid waitumie vizur..
 
baba hayumo ?ina maana wazazi ni mama tu?shangazi?bibi?babu ?wadogo zake au kaka zake? si watu wa kusaidia hao?mkuu u know nothing about family!
Habari zake huwa nasikia anamtaja mama sijasikia kuhusu baba kama yupo atakuwa kwenye kundi la mama kwa vile yeye pia mzazi lakini waliobaki mkuu ni hiari kwani wao hawana watoto? Haya ya kupangiana hayapo kwa kweli, ndio maana familia zetu zinaishia kwenye umasikini watu wanabweteka kisa fulani anazo, haipo hiyo. Kukiwa na tatizo hiyo ni kesi nyingie, nadhani nimeeleweka
 
Pesa si zake,acha agawe tu siku akiishiwa atakumbuka ndugu zake
 
Tuko pamoja
 
Unamlingamisha na Diamond kweli? Kabisa?
 
Mkuu acha kufatilia maisha ya watu fanya yanayokuhusu!!!!hyo buku yako ya bando ungeipelekaa hata kanisani sio kufatilia maisha yawatu.Chukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…