- Thread starter
- #61
Kwani akiwapa ndugu hawezi kutengeneza hiyo brand?Pale anasaidia kupitia kampuni ya WCB na pesa inatolewa na kampuni kama sehemu ya promo aka kujitangaza kwa kampuni yao. Pale wanatengeneza brand na kutengeneza brand kuna gharama sana na ni strategies za hali ya juu. Hapo ndio utaona tofauti ya WCB na makundi mengine wale wana strategies za kubaki juu kisanaa