Kwa maisha wanayoishi ndugu zake Harmonize halafu nikimuona anatoa mil 9 kwa wengine, inaniuma sana

Kwa maisha wanayoishi ndugu zake Harmonize halafu nikimuona anatoa mil 9 kwa wengine, inaniuma sana

Pale anasaidia kupitia kampuni ya WCB na pesa inatolewa na kampuni kama sehemu ya promo aka kujitangaza kwa kampuni yao. Pale wanatengeneza brand na kutengeneza brand kuna gharama sana na ni strategies za hali ya juu. Hapo ndio utaona tofauti ya WCB na makundi mengine wale wana strategies za kubaki juu kisanaa
Kwani akiwapa ndugu hawezi kutengeneza hiyo brand?
 
Mwisho wa ukomo wa kufikiri wako unasikitisha kwani kila mtu si anamiguu mikono na macho acha atumie hela zake kwanini umpangie wakati haukumsaidia kutafuta eti ndugu we unakaa dunia ya wapi kila mtu atafute kwa jasho lake, we ndugu zako unawapa hela kila mwezi! Tufiakwa.
 
Kwani akiwapa ndugu hawezi kutengeneza hiyo brand?
kwani unadhani hawasaidii ndugu zake? Kile wanachofanya kwenye harusi kinaratibiwa na WCB na hata pesa utolewa na WCB ile ni mbinu ya kuwafanya waonyeshe kuwa juu kithamani na hivyo hata show zao wanachaji kwa bei ya juu kwa sababu ya vulue yao wanayojitengenezea mbele ya jamii. Huwezi kuelewa kirahisi hii marketing strategy kwa kuwa may be huna upeo ya haya masuala
 
Ndio usitegemee ndugu sanaa pambana na hali yako.
Maisha ni wewe kupanda ni wewe juu yako hata kushuka hivi ingekuwa wewe ndugu yako anakuacha halafu anampa mwingine kile ulichokitegemea for all in your life ungefanyaje halafu akuambie hapo wewe mdogooo.
Pambana na hali yako usinipigie wala usiniandikie email yeyote .
Nimekublock mimi naishi na hawa ni ndugu zangu nasio wewe.
If is u what will you do.
 
Kwani ao ndugu walimsaidiaje kias kwamba iwe lazima awasaidie kama unavyotaka wewe mbona mama yake na wadogo zake wanakula bata?
 
japo hana ulazima.. ila ajifunze kwa bosi wake...

diamond kasaidia wengi sana ndugu zake kuanzia esma, queen darleen, rommy jones wazaz wake pia.. pale WCB asilimia kubwa ya wafanyakazi nje muziki ni anaowajua toka tandale...

so Harmonize nae akumbuke jamaa zake na ndugu
Kumbe romy jons ni ndugu yake Mond?
 
baba hayumo ?ina maana wazazi ni mama tu?shangazi?bibi?babu ?wadogo zake au kaka zake? si watu wa kusaidia hao?mkuu u know nothing about family!
Yawezekana wewe ndo hujui kitu kuhusu family.... familia sio vyeo tu vya undugu, familia ni matendo for as long as hao waliokua nae katika downs na kumpa thamani kama ndugu wanasaidiana inatosha. Hata uwe dada au kaka wa damu for as long hukuwepo pale kwaajili yangu nilipokuhitaji na ulikua na uwezo usitegemee yakininyookea ntajitia kifua mbele kujihusisha na mambo yake.
Mtegemea cha ndugu hufa masikini kila mtu apambane na hali yake msaada ni nyongeza tu
 
we unajuaje hasaidi ndugu ujue watu wengine mnazengua sana. NAWAAMBIA HAKUNA MTU ANAE MFAHAMU HARMONIZE ZAIDI YA YEYE MWENYE NYIE WENGINE NI WAPAMBET TU.
 
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Monde boy Mtwara harafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara

Kwa watu wa mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Alitumwa na Diamond. Fuatilia vizuri
 
Ywewe ndugu zako walivyo na shida hivi yaani unanunua bundle na kumsema huyu kijana. Bora hiyo pesa ya bundle ungewasaidia nduguzo.
 
Wakati mwingine watu maarufu hufanya hivyo(kutoa pesa au misaada) kwa ajili ya kujenga majina yao. Sio kama wana upendo wa kweli kwa hao wanaowasaidia, bali ni kwa kuangalia jinsi inavyoweza kuwatangaza.
 
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Monde boy Mtwara harafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara

Kwa watu wa mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Wewe utakuwa mmoja wapo wa ndugu zake sasa unalilia na kulazimisha kusaidiwa!!!!
 
Hata we we hiyo buku 2 ya bando unayotumia kufuatilia maisha ya wenzio kwenye mitandao ingeweza kabisa kumlisha mlo wa siku nzima au kununua panadol kwa ndugu yako huko kijijini kwenu.. So acha ujinga ishi maisha yako na upambane na halo yako.. Period!
Ushauri mzuri
 
Upatikanaji wa pesa tena za haraka haraka una siri kubwa sana...

Labda ndiyo alivyotumwa hivyo...

cc: mahondaw
 
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Monde boy Mtwara harafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara

Kwa watu wa mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Vingi ya vinachofanywa kwenye sherehe za harusi hua ni planned.
So havina uhalisia, Hata Chembe.
Kila msanii anapambana na hali yake mwenyewe.
Nashangazwa na unavyoamini kila kitu. Wakati yale ni maigizo tu ya kujenga jina.

Acha Kua fala..
 
Kama hukumsaidia kwenye kutafuta,usimpangie matumizi.
 
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara

Kwa watu wa Mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Mi nashauri badalaa ya kukaa Mjini anaimba imba tu Bora akawasaidie ndg zake kulima mihogo[emoji41]
 
Back
Top Bottom