ongeza ubunifu utengenezajiNi kweli mkuu...Mimi mwenyewe huyo
"Mayonnaise" ni mtoto wa shangazi lakini hajawahi kunipa hata mia mie nateseka hapa kijijini na biashara yangu ya majeneza.! Nilishamwambia anisaidie japo kupata masoko ya bidhaa zangu huko Dar lakn wapi.!
Pale anasaidia kupitia kampuni ya WCB na pesa inatolewa na kampuni kama sehemu ya promo aka kujitangaza kwa kampuni yao. Pale wanatengeneza brand na kutengeneza brand kuna gharama sana na ni strategies za hali ya juu. Hapo ndio utaona tofauti ya WCB na makundi mengine wale wana strategies za kubaki juu kisanaaKwa wanaowafahamu ndugu zake na Monde boy Mtwara harafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara
Kwa watu wa mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Hapana Mkuu, siku zote Upendo wa Kweli huanzia Nyumbani.Mkuu kumsaidia mtu hata kama ni nduguyo si lazima ni hiari sasa wote wa mwangalie yeye kwa nini na wao wasijitahidi angalau wakatoka ki vingine? Nitamlaumu tu kama atakuwa kasahau mama basi
Yaani wewe huyo unayemuongelea bado hajatoka na hata nyumba hana halafu leo aje kukusaidia kwenye biashara zako?. Wewe binafsi una mchango gani kwake. utakufa masikini kwa mawazo yako hayo ya kipuuzi.Ni kweli mkuu...Mimi mwenyewe huyo
"Mayonnaise" ni mtoto wa shangazi lakini hajawahi kunipa hata mia mie nateseka hapa kijijini na biashara yangu ya majeneza.! Nilishamwambia anisaidie japo kupata masoko ya bidhaa zangu huko Dar lakn wapi.!
Anao... kumbuka mama[muzungu] anapesa bado chalii analipwa na kampuni tarakimu 7+.mkuu sidhani kama harmonize ana uwezo wa kugawa million 9. hiyo ni kiki am sure