sakalambanda
Senior Member
- May 9, 2017
- 102
- 79
Mtoa mada umenigusa sana, mimi napafahamu anapoishi mama yake mzazi njia ya kwenda Kijichi kutokea mbagala mission, tena ni bondeni kwenye mkondo wa maji. Watu wanatafuta umaarufu kwa nje wakati nyumbani shida ziko hadi mlangoni. Mungu atusaidie tujitambuwe.Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara
Kwa watu wa Mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Ywewe ndugu zako walivyo na shida hivi yaani unanunua bundle na kumsema huyu kijana. Bora hiyo pesa ya bundle ungewasaidia nduguzo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka balaa.!Ni kweli mkuu...Mimi mwenyewe huyo
"Mayonnaise" ni mtoto wa shangazi lakini hajawahi kunipa hata mia mie nateseka hapa kijijini na biashara yangu ya majeneza.! Nilishamwambia anisaidie japo kupata masoko ya bidhaa zangu huko Dar lakn wapi.!
Si juzi tu hapa alitoa msaada wa fimbo nyeupe kwa watu wenye ulemavu wa macho au sio huyu unaemzungumziaKwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara
Kwa watu wa Mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Hata we we hiyo buku 2 ya bando unayotumia kufuatilia maisha ya wenzio kwenye mitandao ingeweza kabisa kumlisha mlo wa siku nzima au kununua panadol kwa ndugu yako huko kijijini kwenu.. So acha ujinga ishi maisha yako na upambane na halo yako.. Period!
Hao ndugu zake kijijini ni walemavu??? kwanini wasipambane na hali zao
Unaweza kuta hao ndugu zake walikuwa wanapambana usiku na mchana asifanikiweKwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara
Kwa watu wa Mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
TrueKwa vile kazitafuta mwenyewe acha azitumie anavyopenda.
They call it STUNTSWakati mwingine watu maarufu hufanya hivyo(kutoa pesa au misaada) kwa ajili ya kujenga majina yao. Sio kama wana upendo wa kweli kwa hao wanaowasaidia, bali ni kwa kuangalia jinsi inavyoweza kuwatangaza.