Kwa majina haya ya wateule, vijana jiajirini mpate fedha mtateuliwa kwa hadhi za familia zenu

Waajiriwa wengi hawana uwezo wa kuishi nje ya mshahara.Hata kama mtu alikuwa waziri akiteuliwa leo akatai.
Key points ni ugumu wa maisha wangekuwa vizuri kimaisha wasingehaika na teuzi tena.
 
Ukishangaa ya batilda ya Bashiru je toka Katibu Mkuu, Dalali wa wanasiasa hadi kuwa mbunge wa viti maalumu.Leo aliowadalalia kuwanunua silinde, waitara ni wakubwa kuliko Bashiru na polepole maana wale ni wabunge wa tume nae ni mbunge wa hisani ya mama.Njaa haina baunsa
 
Kwakweli SSH naanza kumshangaa

Hayo majina huwa anajiandikia mwenyewe ?

Kama anajiandikia he Yuko makini kwa kiasi gani?

Kama anaandikiwa na watu hao watu wana uwezo gani kiakili na ufahamu.

Kwakweli inashangaza Sana

Hadi Leo anafanya blunders za uteuzi
 
Kama Baba yako Mjomba wako Hakuwahi kuisaidia TANU au CCM sahau Teuzi
 
Kamugisha hakika unamaanisha na kudhihirisha kuwa kina nshomile wengi wenu mpo njema kichwanj.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…