Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?

Hongera umetumia uwezo mkubwa kumjibu mleta hoja, shida kubwa mhusika ana ujinga mkubwa wa kuzaliwa sijui kama kaambulia chochote kwenye jibu lako.
 
Genta, Ihefu sio wajinga Wana kipaumbele chao wao target yao ni kurudi ligi kuu hawakuona haja ya kupambana na vitu vipo nje ya uwezo wao imagine wange komaa game ya Yanga washinde na hicho kikosi kipana cha kucheza championship na ASAF? sidhani kama Zuber ni mjinga hivyo ila kaamua achague moja heshimu maamuzi yake
 
Kuna mahala huwa nakulazimisha uzisome 'posts' zangu au uzifungue 'threads' zangu? Hopeless mkubwa Wewe hebu nitokee hapa tafadhali sawa?
Jf ni tofauti na mitandao mingine. Ningekuwa lbda nimekufollow lbda ila jf haina kitu hiyo
 
Kocha wa hivyo hata timu yangu ya vijana wa hapa mtaani siwezi kumpa , jamaa ni very bogus kabisa.
Zamani nlikua najua mtu akivaa miwani anakua na akili ila baada ya kuona Katwila anavaa miwani nimerefute my falacy mentality.
 
Huyu ndiyo maana anaitwa Popoma. Kwenye huu uzi, amemponda huyo Zubery Katwila.

Cha kushangaza kwenye uzi wake mwingine baada ya huyo jamaa kufutwa kazi, anajifanya kumsifia na kumsikitikia!!


Kweli unafiki ni mbaya sana.
Kuna kipindi ulimpeleka Lutindi ilikuaje tena, maana alipata nafuu
 
Watu ni mafukufuku.
Mmefukua mpaka màkaburi wa Utegi? Hii mbaya Sana Mkuu.
 
"Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali”


"Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?"

Hizo juu ni heading mbili zimeandikwa na mtu mmoja kwa nyakati tofauti.

"Ruge mutahaba ALISEMA
TUMUOGOPE SANA MUNGU NA TECNOLOJIA".
 
Kila siku nawa ambia akatibiwe huyu jamaa kwa kupenda au kwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…