kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Yanga wanahonga kila sehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahala huwa nakulazimisha uzisome 'posts' zangu au uzifungue 'threads' zangu? Hopeless mkubwa Wewe hebu nitokee hapa tafadhali sawa?Huyu jamaa ni ilimradi kapost tu
Hongera umetumia uwezo mkubwa kumjibu mleta hoja, shida kubwa mhusika ana ujinga mkubwa wa kuzaliwa sijui kama kaambulia chochote kwenye jibu lako.Ukweli ni kwamba mashindano ya ASFC ni mzigo mkubwa na mzito sana kwa timu za ligi daraja la kwanza. Hii ni kwa maana ya muda, gharama, nguvu na ratiba.
Binafsi niliwaelewa Ihefu kuweka kikosi cha pili dhidi ya Yanga jana.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Ligi daraja la kwanza ni ngumu mno msimu huu, vita ya kupanda daraja ni kali sana.
Kwa kadri timu kama Ihefu itakavyokua inatumia nguvu na muda mwingi kuhangaika na kombe la FA (ASFC) ndivyo inajipa majukumu mengi katika msimu na kujipunguzia nguvu zake kwa ajili ya vita ya kupanda daraja.
2. Hata kama Ihefu angeweka "full mkoko" jana dhidi ya Yanga, uwezekano wao wa kuitoa Yanga bado ulikua ni mdogo sana ukilinganisha ubora wa timu zote mbili. Cha maana ambacho wangeweza kufanya labda ni kutoa upinzani mkali.
Kutumia nguvu zako zote kwa ajili tu ya kutoa upinzani mkali, wakati nguvu hizo una matumizi nazo katika kupandisha timu daraja, kwa maoni yangu, hayo ni mawazo mabaya sana.
3. Hata kama Ihefu angeweza kumtoa Yanga jana, njia yake ya angalau kufika nusu fainali tu ya kombe la ASFC ilikua ni ngumu mno. Hii ni bila kujalisha angepangwa na nani. Na katika kombe hili, "pesa ya maana" unapata angalau ukiingia nusu fainali. Kwahiyo manufaa ambayo angeweza kupata Ihefu katika kombe hilo yalikua mbali mno (from the beginning).
4. Timu karibia zote za daraja la kwanza (ukiachana na African Sports aliyemtoa Mbeya City) zimeondolewa kwenye hayo mashindano sio tu kwa sababu hazina uwezo mzuri wa kushindana na timu za ligi kuu, hapana. They have picked their fights na ndio maana wengi wamewapa nafasi wachezaji ambao sio regular starters.
Ihefu wamechagua wanachokiweza, na wameamua kukisimamia.
Vita ya ASFC si vita ya Ihefu, vita ya kupanda daraja ni vita halali kwao.
Mimi nimewaelewa wale jamaa.
Na mimi hapa🤣🤣🤣🤣Yawezekana Tanzania nzima mwana Yanga SC mwenye Akili Kubwa na Timamu ukawa ni Wewe tu pekee Mkuu.
Genta, Ihefu sio wajinga Wana kipaumbele chao wao target yao ni kurudi ligi kuu hawakuona haja ya kupambana na vitu vipo nje ya uwezo wao imagine wange komaa game ya Yanga washinde na hicho kikosi kipana cha kucheza championship na ASAF? sidhani kama Zuber ni mjinga hivyo ila kaamua achague moja heshimu maamuzi yake"Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila.
Nami GENTAMYCINE nina Swali kwa Kocha wa 'hovyo' Zubeiry Katwila kuwa sasa kama kumbe alijua kuwa huo Mchezo wake na Yanga SC Kwake haukuwa na Kipaumbele chochote kwanini asingewaomba tu TFF wawape Yanga SC Ushindi kuliko kuingiza Timu yake ya Ihefu FC ambayo jana si tu ilicheza Mpira mbovu bali pia ilicheza Mpira wa Kiuwendawazimu na wa Kipuuzi kama si Kitoto pia.
Mijitu mingine ni ya hovyo kama Sura zao tu. Halafu kwa Makocha wa 'hovyo' kama hawa na wengine baadhi ndiyo mnataka Soka la Tanzania likue? Kudadadeki zenu Simba na Yanga zitaendelea Kutawala Soka la Tanzania mpaka Kiama kitakapokuja.
Jf ni tofauti na mitandao mingine. Ningekuwa lbda nimekufollow lbda ila jf haina kitu hiyoKuna mahala huwa nakulazimisha uzisome 'posts' zangu au uzifungue 'threads' zangu? Hopeless mkubwa Wewe hebu nitokee hapa tafadhali sawa?
Kwa hiyo Mimi sina akili?Yawezekana Tanzania nzima mwana Yanga SC mwenye Akili Kubwa na Timamu ukawa ni Wewe tu pekee Mkuu.
Unauliza Utajiri mkubwa kwa Mo Dewji?Kwa hiyo Mimi sina akili?
Huyu ndiyo maana anaitwa Popoma. Kwenye huu uzi, amemponda huyo Zubery Katwila.Ukisikia ndumila kuwili ndio huyu ajuza
Kuna kipindi ulimpeleka Lutindi ilikuaje tena, maana alipata nafuuHuyu ndiyo maana anaitwa Popoma. Kwenye huu uzi, amemponda huyo Zubery Katwila.
Cha kushangaza kwenye uzi wake mwingine baada ya huyo jamaa kufutwa kazi, anajifanya kumsifia na kumsikitikia!!
Kweli unafiki ni mbaya sana.
Watu ni mafukufuku."Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila.
Nami GENTAMYCINE nina Swali kwa Kocha wa 'hovyo' Zubeiry Katwila kuwa sasa kama kumbe alijua kuwa huo Mchezo wake na Yanga SC Kwake haukuwa na Kipaumbele chochote kwanini asingewaomba tu TFF wawape Yanga SC Ushindi kuliko kuingiza Timu yake ya Ihefu FC ambayo jana si tu ilicheza Mpira mbovu bali pia ilicheza Mpira wa Kiuwendawazimu na wa Kipuuzi kama si Kitoto pia.
Mijitu mingine ni ya hovyo kama Sura zao tu. Halafu kwa Makocha wa 'hovyo' kama hawa na wengine baadhi ndiyo mnataka Soka la Tanzania likue? Kudadadeki zenu Simba na Yanga zitaendelea Kutawala Soka la Tanzania mpaka Kiama kitakapokuja.
Kila siku nawa ambia akatibiwe huyu jamaa kwa kupenda au kwa lazima"Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali”
"Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?"
Hizo juu ni heading mbili zimeandikwa na mtu mmoja kwa nyakati tofauti.
"Ruge mutahaba ALISEMA
TUMUOGOPE SANA MUNGU NA TECNOLOJIA".