Kwa makusanyo yaliyopatikana kupitia ofisi ya DPP ni dhahiri Wapinzani muache kupinga kila jambo

Ukishafanya ofisi ya DPP kuwa ninofisi ya kujusanya mapato, mfumo wako wa haki una matatizo makubwa sana.
Huu ndio upotoshaji mliokuwa mnadanganywa na viongozi wa upinzani.Ofisi ya Dpp haikusanyi mapao,bali wahalifu wanalipa kile kinachotakiwa kulipwa kwa mujibu wa sheria.
 
Hii kitu ilipita bungeni,wabunge wakapitisha. Unaposema sheria kandamizi una maana gani? Hakuna mtuhumiwa anayelazimishwa kufanya plea bargaining.

Wapi wananchi tulishirikishwa ? au niseme lini ? bunge halifiki hata robo ya robo ya wanachi wote tanzania , how can you say kwamba bunge linarepresent wananchi wakati order zote anatoa mtu mmoja ? Hii nchi the minority rules the majority alafu bado mnaendelea kusifia mfumo mbovu kabisa.
 
Wengi wanaoropoka hivyo hawapo kwene game , inawezekanaje upelelezi haukamiliki
miaka yote hiyo what is going on ? nchi hii ina upuuz fulan huwa siuelewi
 
sa nashindwa kuelewa watu wanasubirije huku muda mrefu ivyo ? kwanini wanaokayaa wasipelekwe mahakamani ili wakionekana wana makosa washindiliwe nyundo za kutosha ?
 
Huu ndio upotoshaji mliokuwa mnadanganywa na viongozi wa upinzani.Ofisi ya Dpp haikusanyi mapao,bali wahalifu wanalipa kile kinachotakiwa kulipwa kwa mujibu wa sheria.
Mahakama zinazotoa haki hazina maana tena. Nadhani katika utawala huu job description ya DPP has been reviewed/ revised to be part of Tax collection Authority kama Pilice...
 
Okay huyu ambae hajakiri kwanini haend mahakamani akashitakiwe ili tujue anamakosa why the lag ? Me sijui sheria lakini, tel me kwan hakuna ukomo wa kukaa mahabusu ? je ukomo wa kitafuta ushahid haupo ? hivi vitu vya kuangaliwa pia , sababu aliekubali na kukataa wote wana haki sawa, kumbuka hawa watu ni watuhumiwa tu hatuna uhakika kama walifanya kweli...Naomba unieleweshe
 
Mwambie mbowe nae akiri arudishe pesa za wabunge na ruzuku alizokula mambo yaishe.

Yan tunaongelea hili Taifa unamtaja mtu mmoja hapa ambae ni Toothless dog kwene serikali ya Tanzania unamaanisha nini ?
 
Najua mengi Chief lakini hii mitandao siwez kuandika kila jambo. Baki kujua kile unachojua tu. Last time nimeonana na mzee Rugemarila alikuwa amedhoofu kiafya kama binadamu huruma iliniingia sana.
 
Najua mengi Chief lakini hii mitandao siwez kuandika kila jambo. Baki kujua kile unachojua tu. Last time nimeonana na mzee Rugemarila alikuwa amedhoofu kiafya kama binadamu huruma iliniingia sana.
So what? Vipi waliodhoofika jela kwa kuiba ng'ombe? Wao wanastahili kudhohofika?
 
Najua mengi Chief lakini hii mitandao siwez kuandika kila jambo. Baki kujua kile unachojua tu. Last time nimeonana na mzee Rugemarila alikuwa amedhoofu kiafya kama binadamu huruma iliniingia sana.

Mkuu nieleweshe kidogo tu , ujue jela na mahabusu kwa mwanaume iko karibu sana leta tu ufafanuzi itakuwa vizuri na wengine waelewe mkuu...iko hivi mkuu mimi napenda kujifunza sawa ? huwa nna maswali mengi sana ya sehemu tofauti sasa basi nikipataga nafasi ya kupata sehemu yakuuliza mengine nashoot to moja kwa moja, nataka kujifunza . Alafu kitu kingine naona mbona vitu vingine haviko logical kabisa na tukijoji in a broad day light we become the victims mzee.. I just want to learn...
 
Hii kitu ilipita bungeni,wabunge wakapitisha. Unaposema sheria kandamizi una maana gani? Hakuna mtuhumiwa anayelazimishwa kufanya plea bargaining.
Je,wote wanaoshtakiwa wana hatia?Vp ikitokea kwako na huna hatia na wew unajua hivyo na umeshasota jela kwasababu kesi yako haina dhamana,ikitokea fursa ya kulipa hutalipa?Hutanunua uhuru wako?
 
Hii kitu ilipita bungeni,wabunge wakapitisha. Unaposema sheria kandamizi una maana gani? Hakuna mtuhumiwa anayelazimishwa kufanya plea bargaining.

Kwani sheria kupita bungeni ndio sio kandamizi? Ni sheria ngapi kandamizi zimepita ndani ya hilo bunge kibogoyo, mpaka ikabidi mataifa ya nje ya kaweka mbinyo ili zibadilishwe?
 
Huu ndio upotoshaji mliokuwa mnadanganywa na viongozi wa upinzani.Ofisi ya Dpp haikusanyi mapao,bali wahalifu wanalipa kile kinachotakiwa kulipwa kwa mujibu wa sheria.
Huoni kwamba mnaweka bei ya uhalifu hapo?

Yani watu wanajua kabisa hapa napiga, nikikamatwa natubu halafu nalipa nilichopiga, nisipokamatwa nimeitoa.

Win win situation.

Mnahamasisha wezi.

Mfumo wa sheria unajikita kwenye kukusanya mapato badala ya kuhukumu wahalifu.

Wahalifu wanaambiwa kiri kosa, lipa faini, tutakuachia.
 
Huna ulijialo zaidi ya uchangudo wa huko malunde
 
Unanyan'ganya watu pesa kwa makosa ya kutunga,kisha unawambia walipe ili uwaachilie.tunajenga nchi ya hivyo kimaadili kila moja atatafuta kwa njia haramu kisha anajua atapewa faini tu ya kulipa pesa.
 
Unaweza kua na Mali nyingi with no value kwamba,walala chini, watembea na nduguzo,wavaa kandambili,n.k but hu tajiri but utajiri wako hauna value,pia waweza kusanya PESA nyingi kwa cheo au mamlaka uliyonayo but haina value,so which is better
 
Kumbe kesi ni mtaji wa maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…