Mawakili si wako kwenye station zao.... No per diemHawa ni majaji au wale mawakili
Na hii ni nje ya monthly pay?
🤔🤔300,000 Tsh x 30 = 9,000,000 per month.
9,000,000 x 18 months as of today.....162,000,000 Tsh. Na bado kesi kuisha na kwa malipo hayo, lazima wapokee maagizo
Mawakili si wako kwenye station zao.... No per diem
UKO SAHIHI LOLOT LINAWEZEKANAKwa Tanzania everything is possible. Kama kuna watu huwa wanapata sitting allowance kwa kufanya kazi waliyoajiliwa kuifanya unategemea nini kwa Mawakili wa jesi ya MCHONGO....!!?
Kesi ya Lisu let us wait and seeHalafu Huyu Judge Ndunguru ndiye aliyesimamia ile kesi ya Bandari iliyofunguliwa na akina Mwabukusi. Kesi hii sasa itaanza kusikilizwa court of Appeal muda si mrefu.
Sijui ni Kwa nini serikali inapenda sana kumtumia huyu bwana, kuna namna tu…anapindisha sana mambo…