Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Mnaoita ni wito karibuni kusomea ualimu. Vinginevyo huo sii wito bali ajira kama nyingine.Kila siku watu wanakilmbilia ualimu wanapenda . Ualimu ni wito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaoita ni wito karibuni kusomea ualimu. Vinginevyo huo sii wito bali ajira kama nyingine.Kila siku watu wanakilmbilia ualimu wanapenda . Ualimu ni wito
Siwezi kuwa na mwalimu mjinga kama wewe unamjua mabirika aka alshababu mzee wa kunji UDSM 2011 ndio atakupa habari zangu mi siwezi kuwa na mwalimu mjinga kama wewe tena nitolee mkosi wako pyuuuu se se se nyakusa voiceBila shaka wewe ni mwanafunzi wangu na ulikuwa mbumbumbu ukazungusha.
Babia Ndonga Shokoloo, hauko peke yako na wala si waalimu peke yao wameathirika katika kipindi hiki cha miaka mitano, walioathirika ni wengi lakini kwa kipindi chote hicho hawakuwa na pa kusemea kwani uhuru huo walinyang'anywa na utawala wa kiimla usio na uvumilivu, usio na upendo, usio na subra, usio na hekima, usio na busara wala huruma.Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano
Wapo walimu kibao watampigia wanaipenda ccm na jpm wewe kura yako moja haitabadili kitu!
[emoji23][emoji23][emoji23] nimependa umegundua hoja ni ya kweli na haijibiki basi ikabidi ujibu hvyo yaani.Wapo walimu kibao watampigia wanaipenda ccm na jpm wewe kura yako moja haitabadili kitu!
Unataka uthibitishiwe vipi? Anayestahili kupandishwa mshahara ni mtumishi aliyetumikia serikali si chini ya miaka mitatu, 2014 hadi 2020 ni miaka mingapi? Usiongee Kama umeacha akili chooniSiyo mwalimu huyo dalali tu, annual increment kila mwaka imekuwa ikiingia. Madaraja walimu tunaostahili tumepandishwa wale waliostahili kupandishwa halafu hawakupandishwa pasipo sababu walipolalamika maafisa utumishi waliwajibishwa. Acha kudandia taaluma za watu mimi ni mwalimu niko pamoja na magufuli.
Jikite kwenye siasa zako siyo kuwasemea waalimu.
Laptop za kufanyia academic works kwani hata ni gharama basi, ni kwamba tu hawa majizi hawajaona umuhimu.Duh laptop kila mwalimu yaani Serikali hata hii sera imewashinda?
Wangeenda tu kwenye mashirika ya misaada Marekani wakaomba laptop laki 3 wangepewa Tena bure
Wangeandika tu proposal vizuri
Ndio maana nasema tuna Serikali ya ovyo Sana kazi yao kukimbizana na wakosoaji wake miaka 5 Sasa imepita duh yaani ni aibu Sana
Mwaka huu tutawafurahisha.
Sio aache ndio professional yake. Bali hao wanaonyonya walimu waache unyonyajiDuh,hizo kadhia zote bado unavumilia kuwa mwalimu? Kwa nini usiache?
Mpuuzi wa kiwango kikubwa sana wewe! Eti asiwasemee waalimu,mbona wewe kima unawasemeaSiyo mwalimu huyo dalali tu, annual increment kila mwaka imekuwa ikiingia. Madaraja walimu tunaostahili tumepandishwa wale waliostahili kupandishwa halafu hawakupandishwa pasipo sababu walipolalamika maafisa utumishi waliwajibishwa. Acha kudandia taaluma za watu mimi ni mwalimu niko pamoja na magufuli.
Jikite kwenye siasa zako siyo kuwasemea waalimu.
Wako wapi hao walimu. Usione wamejikali kimya. Wmepanga kumshangaza jpm tar 28. Umeona watanzania walivyomfanya kwenye kampeni hizi??Wapo walimu kibao watampigia wanaipenda ccm na jpm wewe kura yako moja haitabadili kitu!
We ni sifuri kabisa jibu hoja zoteWe sio mwalimu no kanjanja flani usie jua unacho kiongea natamani ata nikutafune mzima mzima
Kama ni kutetea ugali wako kiivyo umefeli kabisa afu ukute we ni kula kulala hujui at a aza kutafuta mkate wa kila siku
Watu wanaugua mafua kila siku unashindwa at a hela ya maziwa we unaleta porojo zako hapa pumbafu kabisa