Mh kwani madai ni ya kweli yaliyotolewa?Wapo walimu kibao watampigia wanaipenda ccm na jpm wewe kura yako moja haitabadili kitu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh kwani madai ni ya kweli yaliyotolewa?Wapo walimu kibao watampigia wanaipenda ccm na jpm wewe kura yako moja haitabadili kitu!
Acha ubwegeza we annual increment ya lini usilete uzwazwa kwenye maisha ya watuSiyo mwalimu huyo dalali tu, annual increment kila mwaka imekuwa ikiingia. Madaraja walimu tunaostahili tumepandishwa wale waliostahili kupandishwa halafu hawakupandishwa pasipo sababu walipolalamika maafisa utumishi waliwajibishwa. Acha kudandia taaluma za watu mimi ni mwalimu niko pamoja na magufuli.
Jikite kwenye siasa zako siyo kuwasemea waalimu.
Hiyo increment unayoipata kila mwaka itakuwa ya nchi ya kusadikika,Siyo mwalimu huyo dalali tu, annual increment kila mwaka imekuwa ikiingia. Madaraja walimu tunaostahili tumepandishwa wale waliostahili kupandishwa halafu hawakupandishwa pasipo sababu walipolalamika maafisa utumishi waliwajibishwa. Acha kudandia taaluma za watu mimi ni mwalimu niko pamoja na magufuli.
Jikite kwenye siasa zako siyo kuwasemea waalimu.
Siyo mwalimu huyo dalali tu, annual increment kila mwaka imekuwa ikiingia. Madaraja walimu tunaostahili tumepandishwa wale waliostahili kupandishwa halafu hawakupandishwa pasipo sababu walipolalamika maafisa utumishi waliwajibishwa. Acha kudandia taaluma za watu mimi ni mwalimu niko pamoja na magufuli.
Jikite kwenye siasa zako siyo kuwasemea waalimu.
Acha mimi ya kwangu anayoHivi umpe kura Jpm utakuwa na akili sawasawa kweli ?
Inawezekana alipanda daraja la Mfugale huyoWe sio mwalimu no kanjanja flani usie jua unacho kiongea natamani ata nikutafune mzima mzima
Kama ni kutetea ugali wako kiivyo umefeli kabisa afu ukute we ni kula kulala hujui at a aza kutafuta mkate wa kila siku
Watu wanaugua mafua kila siku unashindwa at a hela ya maziwa we unaleta porojo zako hapa pumbafu kabisa
Hawezi kukujibu mkuu...Mh kwani madai ni ya kweli yaliyotolewa?
Laptop umepata?Siyo mwalimu huyo dalali tu, annual increment kila mwaka imekuwa ikiingia. Madaraja walimu tunaostahili tumepandishwa wale waliostahili kupandishwa halafu hawakupandishwa pasipo sababu walipolalamika maafisa utumishi waliwajibishwa. Acha kudandia taaluma za watu mimi ni mwalimu niko pamoja na magufuli.
Jikite kwenye siasa zako siyo kuwasemea waalimu.