Uchaguzi 2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

Acha ubwegeza we annual increment ya lini usilete uzwazwa kwenye maisha ya watu
 
Walimu chama chenu kimetekwa hakuna wa kuwasemea na nyie ndo uwa mnasimamia uchaguzi mnaipitisha ccm bora muumie kidogo akili ziwakae sawa
 
Hiyo increment unayoipata kila mwaka itakuwa ya nchi ya kusadikika,

Yaani mnajaribu kutengua hoja kizembe kweli, wewe sio mwalimu kama ni mwalimu bas wa nchi ya kusadikika ila siyo tz
 
Una uhakika? Utashushuliwa hapa.
 
Nawashangaaga Sana wanao sema CCM itakaa miaka Mia moja madarakani. CCM hata kesho tu mkibadili tu nec iwe huru, maded wasishiriki kusimamia... Mmekwenda na maji..
 
Mwalimu Mwenzangu wewe nimuongo sana tumeongezewa mshahara mwaka huu
 
Inawezekana alipanda daraja la Mfugale huyo
 
Laptop umepata?
 
Yani walimu ndo secta yenye kero kuliko zote

Mungu nisaidie kidogo niingie huko aise, yaani walimu mnatia huruma.
 
Siku ya wafanya kazi walimu wanapiga miayo tu juani aibu sana, halafu juzi Magufuli kawapigia simu wakashangilia, kama ni mimi simpokelei simu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…