Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

Much know sana dogo. Hata mimi sijamaliza na nimeona ameandika hili andiko kule FB. Sasa kama mila za wazazi zilikuwa mbaya za kuoa mitala na kulipa mahali sasa ndio wamefuata Mila za wazungu za kufirwa na kuwa mashoga? Pumbavu kabisa wewe. Huyo binti Kimoso uliyemuoa naye hana akili. Anaolewaje na mwanaume wa namna hii.
 

Mahali❎ Mahari βœ”οΈ
Wewe unayeitwa Jimmy ambalo ni jina na utΓ maduni wa kizungu kwani unafirwa(wewe ni shoga)

Mmeshazoea mambo ya kinafiki, ubinafsi, na ukatili ndio maana hamtaki Ukweli.
Mkiambiwa ukweli mnalimbilia kusema mjuaji sijui much know.
 
Muacha mila ni mtumwa! Na utumwa ni zaidi mzigo wa misumari!
 

Hiyo namba moja mtibeti umepuyanga,polygamy ndio mfumo sahihi wa kiasili
 
Al maktoum HEBEIL HAJAZUNGUMZIA DINI AMESEMA MILA POTOFU NDOA ZA MITAALA NAKIFIKRI NI MORE TRIBALISM KAMA KING MSWATI WA SWAZILAND ILA ALIVYOONGEA VYOTE NI UKWELI KABISA
 
UKIKAA SEHEMU MOJA HALAFU WOTE WANAKUPINGA JUA WEWE NDIO UNA WEREVU MKUBWA KULIKO WANAOBISHA NA UZURI WATANZANIA WENGI TUMEUMBWA NI MIHEMUKO
 
Ahsante kwa taarifa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hujielewi wewe.

Ndoa za Mitala siyo mwanamme kuoa wake wengi bali ni kila mwanamke aolewe au awe na mme.

Madhara ya ndoa ya mke mmoja ni makubwa sana kuliko ndoa za Mitala.

1. Mimba nyingi zinatupwa chooni kisa ni uoaga wa kuzaa nje ya ndoa. Wakati huyo anayetoa mimba mama na baba yake wote wamezaliwa nje ya ndoa. Ndoa ni utaratibu wa mzungu ambao umekuja Africa juzi juzi. Tuachane ni huu ujinga unaoitwa ndoa.

2. Malaya na makahaba wanaongezeka mtaani kwa sababu hawana waume wa kuwahudumia mahitaji yao ya kimwili, kiakili na kifedha.

3. Wenye ndoa moja wana michepuko zaidi ya 10 na michepuko inawatia mimba au inapata mimba na kutelekezwa.

N.k
 

Yote uliyoelezea hayana uhusiano na mila mbaya za kuoa wake wengi.
Kuchepuka ni tabia ya usaliti kwa mtu.
Wapo wenye wake wengi na bado wanachepuka.

Umalaya ni tabia ya mtu ambayo hata wanawake walioolewa wapo ni Malaya na Makahaba.

Kutoa mimba ni uamuzi ambao wapo piah wanandoa waliolewa na wanatoa mimba au kutumia uzazi wa mpango.

Ukitaka kujua ndoa za Mitala ni mila potofu unaweza kumuuliza mama yako au mkeo upate maoni yake. Kisha uliza wanawake wa jamii tofauti waambie utayari na ukubali wao kuhusu kuolewa wake wengi. Majibu bali nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…