Kwa mambo haya tusiamshane uchaguzi asubuhi, wekeni mchana mpaka jioni

Kwa mambo haya tusiamshane uchaguzi asubuhi, wekeni mchana mpaka jioni

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Majuzi nilichoka kabisa niliposikia mb mmoja anaongelea pilau bungen kisa ufunguzi wa meli

Akitoa pt zake anasisitiza atuwezi wapa maji wananchi kwa uzinduzi wa meli ya gharama kama ile

Akashauri kuwepo na ugali na wali pilau na nyati za kutosha

Alijua kunachinjwa nyati zaidi ya 20

Aisee nkawaza sana n huyu mtu wananchi wenye akili wameamka asbh kabisa wakaenda kumpigia kura ya ndiyo kweli

Na wengine wakaacha watoto wao wasinyonye na kukimbilia kupiga kura

Mwisho nashauri hizi chaguzi tuanzie mchana mpaka jioni wapendwa tusiwachoshe wananchi alafu mbunge

unakwenda bungen kudai chakula badala ya maendeleo ya sehemu yakoo



waroma wote bwana awe nanyi...
 
amken mkasali
Wale wazinzi wa jana
walevi wajana
wanafiki na wambeya

Bwana Mungu wetu ameshawasemehe amenities tukasali
 
Huko mwanza wa sengerrma anataka pilau aisee
 
Back
Top Bottom