Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Sidhani kama kuna tusi ambalo sijawahi kutukanwa.

Nakaribisha matusi yao.
mastaa wenzio uko majuu wanatafuta kick then wanakua na kazi za kuuza sokoni either filamu, products au nyimbo , sasa huyu bibie anapenda kick za kipuuzi ambazo hazimpi ktu
 
And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Agakhan ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.
Una uhakika gani kwamba huyo daktari kahusika kumsafisha? Labda kapewa rushwa ili aseme hivyo alivyosema je? Usimwamini sana Wema, kumbuka ile nyumba ya K,nyama alisema ni yake, baada ya kuiba umeme wa mamilioni ilibidi mwenye nyumba halisi ndio awajibike, kwa sababu bili zilisoma kwa jina lake. Dunia ina mambo hii
 
Duuuuh....hatar sana
 
Mimba bado haijatoka hii hapa acheni kumzushia mwana wa mwenzenu.
 
Ila ujumbe aloandika Idriss amegoogle, hii inamaanisha nini kukopi na kupaste? Wazee wa drama, attention seekers, dah inahuzunisha
kumbe hayo maneno yote ka-google?????? nkaanza kuamini kuwa kumbe idrissa yupo "smart upstairs" dah kweli bongo nyosso. hadi sentensi tunagoogle.
 
Idrissa atakua kalipwa igiza hiyo drama
 
wema sio wa kumwamini yule, mwanamke hafai hata kidogo, huyo idris namuonea huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…